Search results

  1. M

    Kwa waliowahi kuishi Iringa, comment hapa tafadhali

    Moja ya kitu nakipenda Iringa ni majina ya mitaa na miji yao, naweza kusema asilimia kubwa wametumia majina yao tu, kidogo na ya kiswahili ya miji mingine, kasoro kijiji cha Pomern(ujerumani origin), labda kama ipo miji mingine yenye majina ya Kizungu mnipe niongeze uelewa.
  2. M

    Kwa waliowahi kuishi Iringa, comment hapa tafadhali

    inabidi lile jengo lake ligeuzwe jumba la makumbusho please looh
  3. M

    Bei ya nondo inazidi kuporomoka kila siku

    Maana hata walokole hawajajenga, maudhistazi kibao wamepanga magetto ya watu.
  4. M

    CCM chukueni Hii ya Kagame 2030 Mgombea Urais awe na umri wa miaka 30-49

    Days are numbered, hivi ukichukua ule umri wa Mungu toa na miaka aliyo nayo balance ni ngapi vile???
  5. M

    Watanzania mngekuwa na mtizamo kama wangu CCM ingekuwa imeondoka tangu 1995 na nchi hii tungekuwa mbali kimaendeleo

    Kama wanajua kuwa wanaibiwa kura, kwa nini wanaendelea kwenda kupanga foleni???
  6. M

    Mbegu bora ya samaki ni ipi na je inapatikana wapi?

    kwa wafugaji wa ukanda wa pwani wanaweza kutafuta mozambicus toka Rufiji, TAFIRI wanasema ni mbegu bora sana kwa wafugaji wa Pwani.
  7. M

    Watanzania mngekuwa na mtizamo kama wangu CCM ingekuwa imeondoka tangu 1995 na nchi hii tungekuwa mbali kimaendeleo

    Ngoja tuendelee kunyooshwa mpaka akili itukae sawa. Tutafikia wakati tutazungumza lugha moja mkuu, sio mbali.
  8. M

    Watanzania mngekuwa na mtizamo kama wangu CCM ingekuwa imeondoka tangu 1995 na nchi hii tungekuwa mbali kimaendeleo

    Sio ninavyofikiri, matendo yetu ndivyo yanavyotuonyesha. Mifano michache hapa chini. 01. Mtu kasombwa na lori kwenda kujaza uwanja ili akaongopewe, jioni akirudi anakuja kulalamika eti maisha magumu, wakati alikaa juani akiunga mkono sera mbovu. 02. Akiambiwa porojo na wanasiasa wa chama chake...
  9. M

    Je, teknolojia katika ufugaji wa samaki inaweza kuleta athari?

    Tilapia wana kawaida ya kuzaliana sana, na kama chakula kipo kingi hutaona wakipungua, ingekuwa kwenye ponds za kujenga kwa zege ungeona pelege wakiwa wakubwa sana na cat fish nao wakiongezeka uzito kwa kasi.
  10. M

    Tanzania Kuiuzia Umeme Kenya Bwawa la Nyerere Likikamilika. AfDB Yataka Mikataba ya Mauziano isainiwe haraka

    Sihitaji kuambiwa kama umeme umeenea kote au bado, ninaona kwa macho yangu mkuu.
  11. M

    Tanzania Kuiuzia Umeme Kenya Bwawa la Nyerere Likikamilika. AfDB Yataka Mikataba ya Mauziano isainiwe haraka

    Unajua hizo megawatt 2000 hapo Rufiji tutazipata kwa awamu ngapi?
  12. M

    Je, teknolojia katika ufugaji wa samaki inaweza kuleta athari?

    Ndiyo Cat fish wanakulana/wanakula tilapia Sasa ukifanya polycuture (sijui kama nimepatia) kwa ratio maalumu, utafurahi na roho yako. Lazima ujue cat fish wangapi kwa tilapia wangapi.
  13. M

    Tanzania Kuiuzia Umeme Kenya Bwawa la Nyerere Likikamilika. AfDB Yataka Mikataba ya Mauziano isainiwe haraka

    Samahani, hivi matumizi ya umeme kwa Tz hayataongezeka? Kumbuka hatujafika hata nusu ya kusambaza umeme nchi nzima.
  14. M

    Je, teknolojia katika ufugaji wa samaki inaweza kuleta athari?

    Good, Kama miaka mitano nyuma nilifuga tilapia chotara na wale Mozambicus na cat fish. Ni kweli mbegu za asili zinatoweka kwa kasi ya ajabu, mimi nimeamua kutunza mbegu hizi za asili, mozambicus, tilapia na cat fish. Kwa sasa nakusanya cat fish jamii mbalimbali na kuwatunza vizuri.
  15. M

    Rais Samia kuijengea Nyumba familia ya mtoto anaeuza ndizi

    Sijaelewa kabisa mpendwa wetu anatupa ujumbe gani hapa.
  16. M

    Rais wa Awamu ya Pili, Mzee Ali Hassan Mwinyi alazwa kwa maradhi ya kifua

    Mimi naomba apone mzee wetu arudi kitaa, Mungu amjalie agonge karne na ushee. Pamoja na mapungufu ya kibinadamu, huyu mzee kaishi vizuri tu na jamii, apewe maua yake.
Back
Top Bottom