Wazo zuri,anzisha linawezekana japo changamoto zitakuwepo,familia nyingi zimeshindwa kuwaanda watoto juu ya taratibu za maisha,pengine wanazidiwa na majukumu ya kiuchumi, wanapenda kizazi chenye maadili lakini wameshindwa kuwaadilisha.
Heshima pesa,elimu ni mwanga wa kukutoa gizani tu,utajiri kitu nyingine hyo,ukitaka heshima msomi fanyia kazi kwa vitendo elimu yako na jamii itakuheshimu tu,usiwe mtumwa wa wajinga wakati umetumia rasilimali za Taifa,kama unatarajia heshima hutaipata kwa vyeti tu ila mwanga utakuwa nao na...
Fanya utafiti,tembelea hospt yoyote ya karibu, uliza watoto wa ngapi wa kiume au wa kike wamezaliwa ndani ya mwaka mmoja, pia uliza watu wakiume au wakike wangapi wamefariki ndani ya muda huo,je ndani ya ukoo wenu/mtaani watu wengi ni wanawake au wanaume?majibu utayapata
Nenda chuo unachotaka kuhamia, uwe na nakala ya matokeo yako, waeleze wao ndiyo watawasiliana kuhamisha matokeo siyo wew tena, kozi zifanane, utatoa gharama ya miamala
Siyo ubinadamu kumudharau mtu wa chini uliyemnyonya kiuchumi na kujitajirisha(Afrika) trump hayuko sahihi,kila mwafrika anakiu ya maendeleo ila sera mbaya za wakoloni
NHIF hamtutendei haki wanachama wenu, tupeni uhuru wetu wa kuchagua nani awekwe, sisi ndiyo wachangiaji,tunalea hata mayatima, wajane na walemavu,siyo razima wawe ndugu zetu, hawakutaka wawe hivyo pia, sheria inayotumika inatuondolea huruma ya kibinadamu na uzalendo wa kusaidia wahitaji...
Maisha siyo kuutangazia uma kuwa una hali nzuri, unajua kutumia pasipo kujali wengine
,gari ni nyezo tu yakukufikisha utakapo, vtz na passo zote ni gari na Tz ya leo hatushindani spidi,kumbuka gari kubwa matumizi makubwa, uko peke yako kwa nini utumie mafuta ya roli, cha mhimu ni kutambua wajibu...
Hyo ni kazi ngumu nayahatari sana ninavyofikiri mimi, nashangaa kwanini watu tunaipenda na kuitamani,tunataka tuijue wakati waliyonayo hawataki uwajue wala uijue,tukiona mvu za kijasusi tunatamani kuwa masteringi wa movu, hyo co muvu ni ukweli mtupu,usizani kazi hyo itakupa sifa, haina utajiri...
Kama unaanza kutumia kamera weka kwenye auto baadae utajifunza vinginevyo, mweke katkati ya kioo cha nyuma unayempiga yaani aonekane kisha bonyeza kitufe cha kupigia, usipumue wakati wa kubonyeza kipigio
Dhuruma hii,waliopanda nakunywang'anywa mishahara waliahidiwa kuwa pesa zao zipo zimetunzwa na bunge lilikuwa limepitisha bajeti,lengo ilikiwa kusubiri uhakiki wasiostahili na baada ya hapo watapewa, hili la tr moja nov limetoka wapi tena? Mwenye nguvu anaumiza wanyonge!Mungu atawalipa, ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.