kama wewe ni mwanadada unahitaji mume na una sifa zifuatazo nipm haraka iwezekanavyo
-uwe na kazi
-uwe mrefu kiasi
-usiwe mbaya sana wala mzuri sana kisura
-Usiwe mpare wala mhaya
Mengine yote yanajadilika baada ya kuwaona wahitaji
Wahi nafasi ni chache.
Wakuu nina mpenzi wangu nampenda sana lakini huwa ananicheat na kusex na ex wake ambae wanafanya nae kazi ofisi moja na kila nikimuuliza anakataa na kujifanya kununa hali inayosababisha kila wiki tugombane.Nimemvumilia vya kutosha nampenda sana ila nashindwa kuvumilia kumegewa na...
Habari zenu akina dada,mimi ni kijana mzuri sana kitabia,ila hadi sasa hapa nilipo na miaka yangu 29 sina mwanamke ninaeweza kusema ni mpenzi wangu.Nimechoka na haya maisha jamani kila siku mawazo tu na upweke.Najua wengi mtatoa mamneno ya kejeli ila mimi niko seriouz natafuta girlfriend...
Wadau nimewahi kupost uzi wangu wa kutafuta mke hapa bila kuweka vigezo ila hadi sasa hakuna mafanikio yoyote.Sasa kwa mamlaka ya hisia zangu na moyo wangu naomba nirudie tena na nitangaze nia yangu kwa mara nyingine.Mimi umri wangu ni miaka 30 na ninatafuta mke mwenye sifa zifuatazo
1.Awe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.