Akina dada soma hapa muhimu sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Akina dada soma hapa muhimu sana

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Maliboro, Sep 25, 2012.

 1. M

  Maliboro Member

  #1
  Sep 25, 2012
  Joined: Jul 28, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau nimewahi kupost uzi wangu wa kutafuta mke hapa bila kuweka vigezo ila hadi sasa hakuna mafanikio yoyote.Sasa kwa mamlaka ya hisia zangu na moyo wangu naomba nirudie tena na nitangaze nia yangu kwa mara nyingine.Mimi umri wangu ni miaka 30 na ninatafuta mke mwenye sifa zifuatazo
  1.Awe mkristo mcha mungu na mwenye hofu ya mungu
  2.Ajitambue kuwa yeye ni mama mtarajiwa na sio sista duu wa mjini
  3.Awe na miaka 22 hadi 28
  4.Awe mfanyakazi isiwe kazi za kusafiri safiri kila siku kama auditing au sales and promotion teams
  5.Awe tayari kuolewa bila sherehe kubwa ila tartibu zote zitafuatwa
  6.Awe mrefu kiasi,yaani asiwe mfupi,awe mzuri kisura,kitabia na kiumbo.Mambo mengine yote yaliyobaki ni ya kawaida tu na yanajadilika
  kwa yeyote alieko tayari tafadhali naomba niinbox moja kwa moja na naomba ikiwezekana jieleze kidogo na hii nafasi ni kwa wote walio ndani ya nchi na nje ya nchi.
   
 2. Mabreka

  Mabreka JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 709
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  du kweli wanaume tuna kazi kweli!!!!!!!

  sasa mkuu kukusaidia ili uwanase kisawasawa!! mwaga cv yako na ww
   
 3. Mabreka

  Mabreka JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 709
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  au tutafute wakala nini?
   
 4. kalou

  kalou JF-Expert Member

  #4
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 22, 2009
  Messages: 4,357
  Likes Received: 972
  Trophy Points: 280
  Nenda kazurure mlimani city,nawaonaga onaga wenye vigezo vyako ....au ndo domo zege?
   
 5. Root

  Root JF-Expert Member

  #5
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,162
  Likes Received: 12,871
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. ndiyomkuusana

  ndiyomkuusana JF-Expert Member

  #6
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 627
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  Mkuu madada uliyowasema wapo na wanapatikana, lakini bango ulilotumia kutoa tangazo umekosea, Nenda kanisani kwenye notice board utawapata wengi! Humu hasa kipengere hiki,Ajitambue kuwa yeye ni mama mtarajiwa na sio sista duu wa mjini na hiki Awe tayari kuolewa bila sherehe kubwa ila tartibu zote zitafuatwa

   
 7. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #7
  Sep 26, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Mmmh masharti ndugu, punguza.
   
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  Sep 26, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  all the best
   
 9. Beb

  Beb Member

  #9
  Sep 26, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hiv mnaishi dunia ya peke yenu mnaotafuta wachumba mtandoni?kama na wewe una vigezo mpaka ukaamua kumuwekea vigezo umtakae mbona ata apo ulipo wapo,wengine mnatafuta matatizo kama si hivyo ni ww ndo utakua tatizo.
   
 10. M

  Maliboro Member

  #10
  Sep 26, 2012
  Joined: Jul 28, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe ni mdada mbona umesoma hii post wakati ni kwa akina dada tu
   
 11. M

  Maliboro Member

  #11
  Sep 26, 2012
  Joined: Jul 28, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jaman beb usiseme hivyo ni vibaya!!
   
Loading...