Bila Shaka crypto currency sio neno geni kwenu, naomba kuweka Kama swali lenye msaada kwa kila mmoja wetu.
Kumekuwa na biashara kubwa Sana ya crypto siku hizi na watu wengi hasa watanzania waki jihusisha na hii biashara , hasa kwenye coin ya USDT.
Naomba kuuliza Nani Ana fahamu upatikanaji wa...
Kabla mwaka haujaisha una list ngapi ya game nzuri za kwenye simu yako iwe Android au iOS , Kuna hili game linaitwa BUS SIMULTOR ULTIMATE limeletwa na kampuni ya ZUUKS GAME .
Lina nafasi ya 600+MB Kama utachukua playstore au applestore .
Hili game Lina restrictions nyingi Sana Ila kila bus Lina...
Je simu yako Ina uwezo wa ku run game zenye nafasi kubwa kuanzia 1GB na kuendelea!??
Nakupa list ya game nzuri kwa huu mwaka 2021
1:TRAINZ SIMULTOR 3
2:OFF ROAD TRUCK
3:..........
Fuatilia hii channel kwa game zingine nzuri
https://youtube.com/channel/UCT8J1d72PZTPhPle0pF400g
Kikubwa mkuu usikate tamaa maana unatumia eneji kutupatia vitu Kama hivi, halafu hatukulishi, hatu kuogeshi wala kukupikia
Achana na Hawa wenye challenge kwenye nyuzi zako, sisi tunajua wewe ndio mwongoza njia japo Kuwa kuna wengine wafuata njia ukikosea mpaka matusi uta tukanwa ,na vya kwao...
Kumbuka we are living in nature guided with science, Mfano experiment ilifanyika na kuonesha Kuwa matokeo tofauti na huyo samaki ,slope ya graph experimentally inaonesha sio rahisi
Na ukilazimisha unapata kitu kinaitwa "VISUAL DISTORTION" na technically na majaribio yaliyo Fanywa huyu samaki...
Una amini juu ya huu usemi "kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake" Na je, una amini kuenda darasani ndio mafanikio au talanta "talent " uliyo nayo ndio mafanikio?
Basi mtambue ARCHERFISH, Mfizikia "physicist " ambae hakuenda darasani.
Huyu ni samaki (jamii ya samaki wadogo katika kundi LA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.