Recent content by Maleto

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anadai niifukuze familia ya kaka nyumbani

    :D:D:D WAKAE KWA KUTULIA.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anadai niifukuze familia ya kaka nyumbani

    Na kwa nini awahi kukupakulia chakula? asubiri mume wake atoke jela ndiyo atoe hiyo huduma,na pia mkeo anakuwa wapi mpaka unachotewa chakula? kuna shida mahali pia ww unamchukuaje shemeji bila mkeo kwenda baa? maswali ni mengi.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hivi lile Joka lenye Makengeza lisaka pesa limepotelea wapi

    Umenena vyema.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro inakufa

    Huyu aliona fuvu la ngombe
  5. M

    JamiiForums Tanzania Bifu linaendelea, Mume wa Waziri Gwajima akana kumtambua Mathias Gwajima kama Baba yake

    Sura zao zinaendana itakuwa hivyo.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mchanganuo tozo za LUKU kuanzia August 20-2021

    Apa wasipokuwa makini hii kodi watalipa wapangaji tena wengine bila kujua,watanzania wengi hata wakungalia yale makato ni shida.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mchanganuo tozo za LUKU kuanzia August 20-2021

    Au iitwe kodi ya watumia umeme kabisa:D:D
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kama umeajiriwa sehemu yoyote shika sana kazi yako hakikisha huipotezi, ukiipoteza utajuta

    Asante! ajira ni utumwa kazi siyo lazima uwe umeajiriwa kazi ziko nyingi za kujiajiri na unaweza toboa na kujiona muda uliotumia kuajiriwa ulipoteza. Huko tunaoenda tusiwaaminishe watoto wetu kuwa ukisoma lazima uajiriwe mwambie soma ujiajiri.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Marekani inatarajia kutoa 'booster vaccine' kwa watu wote waliopata chanjo

    Ile form unayosainishwa imemaliza yote hakuna kuwajibishwa mtu.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tuliopitiwa na wimbi la 3 Mwenyezi Mungu akatuokoa tukutane hapa

    Mimi hivyo hivyo na mdomo kama unakauka hamu ya kula zero
  11. M

    JamiiForums Tanzania Moshi mkubwa mweusi unafuka katika moja ya maduka Mbezi mwisho

    Huyu atakuwa yule mchekaeshaji picha yake sina tu hapa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Chanjo za Kupambana na Corona (COVID-19): Nini Maoni na Mtazamo wako?

    :D :D :D :D :D
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wababa wanalalamika sana kutengwa na watoto wao kimawasliano hata kiuchumi. Je, shida ni nini? Wamama mnaliongeleaje hili? Watoto mnafanya haya kweli?

    Watoto wanajua kuwa baba ahudumiwa na mama kwa kila kitu wanajua wakimpatia mama baba naye atafaidi, tofauti na baba wengi ndiyo hao wanahonga nyumba ndogo.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu kapata Division 2 ya point 1o; asome barchelor gani kati ya hizi?

    Mmmm! akasome education
Back
Top Bottom