Mke wangu anadai niifukuze familia ya kaka nyumbani

Fukuza yeye hana adabu ufukuze ndugu zako huko mkeo ovyo saaana mwambie mi sijapenda kbs

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani amfukuze mke wake yeye aishi na shemeji yake huo utakuwa ujinga. Kinachotakiwa kama wazazi wapo wampeleke huyo mwnamke huko akawasaidie yeye abaki na watoto wa kaka yake, lasivyo nyumba itakuwa inawaka moto
 
Unatakiwa umpeleke huyo mkeo wa wazazi wako au wake akaishihuko wewe baki na watotot. Halafu wanawake wengine tunashindwa kujiongeza yaani yeye anafurahia kukaa hapo kumfungulia shemeji yake geti huku mkewe na house girl wapo. Mimi kaka yangu alipata matatizo tukajadiliana mke wake aende kukaa na mama huku tukiishi na watoto wake mpaka mume wake matatizo yakaisha. Yaani miaka miwili upoupo tu unakazi ya kufanya majukumu sio yako lazima utachukiwa.
 
Yani uko mbioni kumla shemeji. Kwasababu kwanza yeye atakua anakutaka, maana huenda kabla ya mme wake kufungwa alikua hamfanyi haya yote kwa mmewe
Pili kuna uzaifu fulani umeonyesha mbele yake kuhusu mkeo sasa anataka achukue hiyo advantage umtafune.
Hawa wote ambao wanasema huyu dada anaroho mbaya aithani alishaona mbele.
Ndg majibu umesha yapata.Ongeza na ya kwako kama mwanaume na baba wa familia, nusuru familia ya kakako awakute mkiwa na ule umoja aliowaachia,heshima,amani na upendo.Mungu ukutangulie kwani si rahisi!!!!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
4. Punguza mazoea yaliyopitiliza kwa shemeji yako, maana mnakoelekea utamla kabla kifungo cha jamaa hakijaisha au utaanza kumwonea wivu siku akipata lijamaa (kumbuka nae n binadamu mwenye hisia)

Huu ndo ukweli mtupu. Kama bado huumalizi mwaka huu kabla hujachungulia mali ya kakako.
Ushauri;
Mrudishe kwa wazazi wako au wake yeye, waeleze kuwa utamsaidia chochote utakachopata. Kuhusu kumpangia chumba si kweli, hapo ndio kabisa kishawishi kitazidi kwani miaka 2 hii shem hajauona mhogo wa jyang'ombe. Wadhani yeye hakumbukii kakako alivyo mpa??
Huruma yako itakuponza hata akija kakako akute umeiongeza familia. Wadhani kakako akija atakuheshimu sana kwa maneno atakayo yakuta hapo kwako?? Mrudishe kwao au kwenu umhudumie pale
 
Kwa awali tu nimegundua mkeo sio romantic kabisa ila ana wivu sana now tokana na treatmeant unayopewa na shemeji yako na jinsi unavyoipokea na kuinjoy hilo. Na kwa jicho la tatu ni kuwa shemeji yako ana hamu ya kuguswa baada ya kukaa long time bila huduma ya ndugu aliepo jela hivyo anatengeneza mazingira umle wewe na si mtu baki huko nje kuepusha fedheha. Ni ngumu kuelezea hilo kwako ila kwa vitendo tu...anataka msaada!

Kibinadamu sio kosa kukirimiwa ila kimazingira uliopo ni kosa mkuu hasa kama imefikia mnaitana na pet names. Hizo bonus anazokupa shemeji zinaweza kuwa kwa nia njema isipokuwa zinaleta picha tofauti kwa mkeo na kwa vile ye ndio mwenye mji lazma awe mkali maana asilimia 80% ya majukumu yake yamepokelewa na wifi yake katika hali ya kustaajabisha! Mkeo ana haki ya ku claim power yake.

Ongea na shemeji yako apunguze mazoea ya kuzidi najua ana nyege sana na dume lililo jirani ni wewe. Fanya kuongea nae mkiwa mbali at least aelewe hio hali inaleta mgogoro, ili mkeo nae apate amani, aione nafasi yake kwako zogo liishe.

Pia mkumbushe shemeji atambue nafasi yake ni kama mkimbizi tu hapo mjengoni na si vinginegyo.
Hahaha... Shemeji anataka kulipa fadhila...
 
Mwambie pia shemeji ako aache kuvaa night dress siting room, awe anavaa kipindi cha kulala tu. Pia anakiwa ajishushe tu, kwan hapo c kwake na asikuonyeshe mahaba zaidi hizo kaxi inabidi azifanye mkeo mwambie mkeo pia ajiongeze pia, mbaya zaidi wanawake huwa hawawezi ishi pamoja hilo nalo ni tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
Na kwa nini awahi kukupakulia chakula? asubiri mume wake atoke jela ndiyo atoe hiyo huduma,na pia mkeo anakuwa wapi mpaka unachotewa chakula? kuna shida mahali pia ww unamchukuaje shemeji bila mkeo kwenda baa? maswali ni mengi.
 
Ila mwambieni ukweli shemejie nae kazidisha,unajua unapofika kwa watu unatakiwa Ku behave kwa mujibu wa maisha aliyoyakuta sasa na yeye huyo bi Dada kazidi kujitia tia kwa shemejie,kujikalisha sebuline na night dress kwa shemeji yake si picha nzuri,ipo siku jamaa yenu hapa ataja sema shetani alimpitia,yeye kama baba anatakiwa kiyakemea yote mbaya ili hao wanawake waishi kwa amani humo ndani sasa akiwa lege lege tutarajie ipo siku atateleza tu maana speed ya shemeji si ya kitoto wallah,kumpakulia chakula mume wa mtu inauma jamani wee! Mimi kwa kweli sitaki kabisa hiyo kitu bora mwanaume apakue mwenyewe maana kwenye kuinama kuvuta hotpot waweza pitisha vijimaziwa vyako kwa bahati mbaya kwenye mkono wa mume wa mwenzio mambo yakawa hovyo hovyo!
NYUMBANI KARIBUNI ILA MKIFIKA KAENI MBALI NA WAUME ZA WATU.

Sent using Jamii Forums mobile app
:D:D:D WAKAE KWA KUTULIA.
 
Mnachoshindwa kuelewa ni kuwa huyo mkeo amekosa amani na matendo ya shemej yako. Mbona hakukataa usimlete mwanzoni. Why anaplay role kama za mke? Anakupakulia chakula na kukufungulia geti? Hebu vaa viatu vyake? Lazima ahisi kuna ktu ingawa si kweli.

Huyo shem wako anapaswa kukaa kwa kutulia. Na hapasw kusema et hawez jishusha kisa mkeo mdg kwan hapo kwake? Wanajishusha mama zetu wakubwa huko majumban kwetu sembuse yeye. Hebu mpe amani mkeo. Mwambie shem ajiheshimu wewe sio mmewe. Una mtu wa kukufanyia hayo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom