Recent content by malecela

  1. malecela

    Fahamu haki zako pale unapo fukuzwa kazi

    Amani iwe kwenu wanajamvi! Naam, leo tugusie kidogo haki za mfanyakazi pale anapofukuzwa kazi. Kwanza tufahamu kumuachisha kazi mfanyakazi sio jambo baya au linalokatazwa, ila linatakiwa kufuata taratibu na sheria ili mwajili asiingie matatani. Maana kama Mwajili hakufuata taratibu na sheria...
  2. malecela

    Nahitaji vitabu vya sheria Vya kiswahili

    Ninavyo mkuu kama hujapata
  3. malecela

    Pata vitabu vya sheria kwa kiswahili

    Habarini ndugu! Nmeamua kuja na vitabu vya sheria kwa lugha ya kiswahili kwa ajili ya kuongeza uelewa katika mambo mbalimbali ya maisha ya kila siku,katika kitabu hiki utapata ufafanuzi katika topic zifuatazo: 1.NAMNA YA KUPATA DHAMANA POLISI AU MAHAKAMANI 2.HAKI ZAKO UNAPOKAMATWA NA POLISI...
  4. malecela

    Pata vitabu vya Sheria kwa Kiswahili

    Amani iwe kwenu ndugu zangu! Naam nmekuja tena na vitabu vya sheria kwa kiswahili toleo la pili baada ya toleo la kwanza kufanya vizuri. Vitabu hiki kimechambua kwa undani sheria zifuatazo: 1.SHERIA ZA NDOA NA MGAWANYO WA MALI NDOA INAPOVUNJIKA NA MALEZI YA WATOTO. 2.NAMNA YA KUJITETEA...
  5. malecela

    Parking za Kibo Complex (Tegeta) kuna vinara wa wizi

    we hujui mtu akishinda kesi huwa analipwa fidia?
  6. malecela

    Polisi wakimbizana na Wamachinga Dar

    kilichotakiwa sio kuondoa machinga wote,ilitakiwa wale ambao hawakuwa na shida wabaki wale ambao ilikuwa kero ndo watolewe,imangine unawapa watu siku 30 waondoke wakati wamechukua mkopo hapo unaenda kuua vikoba na taasisi za kukopesha,tusifurahie tuu!
  7. malecela

    Msaada: Nimeachishwa kazi

    mkuu hapo unatakiwa ukafungue tume ya usuluhishi ambapo kama ulifukuzwa bila kufuatwa kwa taratibu basi unatakiwa upate remedies/fidia zifuatazo 1.kiinua mgongo 2.mishahara yako yote ambayo ulikuwa umesimamaishwa 3.mishaharay miezi12 ya usumbufu 4.mishahara mingineya miezi 12 hela ya likizo kama...
  8. malecela

    Zitto Zuberi Kabwe kutazamiwa kuwa kiongozi mkubwa Tanzania baada ya miaka mitano (5)

    zzto anakubalika ndani ya mioyo ya watu wanofikiri sawasaw(critical thinker) hakika huyu jamaa pamoja na mapungufu yake bado ni mtu ambaye atatusogeza tunapopataka
  9. malecela

    CHADEMA = CCM, fedha za Uswis? Ni kazi ya Zitto kutaja majina au vyombo vya usalama?

    suala la fedha si la zitto bari la vyombo vya usalama
Back
Top Bottom