Recent content by maldoso

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji maswali ya set

    Nipeni maswali jamani.Maswali ya set peke yake
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Mimi ninahitaji mnipe maswali mengi ya set naombeni mnipe hayo maswal
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji maswali ya set

    Jamani naombeni mnipe maswali mengi zaidi ya topic ya set
  4. M

    JamiiForums Tanzania UDOM: Special Diploma tunaenda au hatuendi?

    Jiandaeni jamani chuo hicho kinafunguliwa jumamosi muwahi kwa sisi mwaka wa kwanza hasa special diploma
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tuliochaguliwa UDOM tukutane hapa

    jamani ni kweli kwamba direct cost imepungua kutoka 232100/= hadi 207500/= msaada jamani
  6. M

    JamiiForums Tanzania Direct cost imepungua diploma maalumu UDOM

    Ungeangalia na pale kwenye first year brother imetoka kwenye 232100/= hadi 207500/=
  7. M

    JamiiForums Tanzania Direct cost imepungua diploma maalumu UDOM

    Oya ebu angalieni website ya udom muone
  8. M

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

    Jamani direct cost imepungua kweli au? Maana kuna mtu anasema imerudi pale pale eti ni kweli
  9. M

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

    Kwa hiyo wew unaenda kulipia hiyo 207500 ausio
  10. M

    JamiiForums Tanzania Direct cost imepungua diploma maalumu UDOM

    Mbona unatuzingua bro ina mana sisi hatujui kusoma mana pale kuna wanaoendelea ambao direct cost yao haifiki hata laki mbili na first year ndo ipo hiyo laki 207500
  11. M

    JamiiForums Tanzania Direct cost imepungua diploma maalumu UDOM

    Kaka angalia pale kwenye first year no:2 utaona imepungua
  12. M

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

    Jaman direct cost imepungua
  13. M

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

    Eti jaman na fomu ya hospital inatakiwa kutolewa copy nne kama za registration?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tuliochaguliwa UDOM tukutane hapa

    Kvp yaan
  15. M

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

    Kama haukuomba mkopo na heslb walisema watatoa utaratibu maalum wa kuomba mkopo kwa waliothibitisha lakini mpaka hamna kitu nimewaulza bodi ya mikopo juzi wakasema niwe na subira.Inaonekana tunaenda kuombea chuoni huko huko alafu mbona tumewapigia udom wanasema tuition fee hatulipi
Back
Top Bottom