M/kiti wa Vijana Chadema.Noel Olevaroya na M/kiti wa Uvccm wilaya Arusha Martin Munis. Nccr na Cuf uso kwa uso Mj Radio saa 3:00 mpaka saa 4:00 kamili usiku huu,mada ni kuhusu ajira kwa vijana.
Kaa mkao.
Haya si maandiko ya bibilia maana bibilia ilikuwepo kabla ya qu-an ina maana kwamba qu-ran imechukua vitabu vya Bibilia bibili ina miaka 2013 sasa wakati qu-ran ina miaka mia tano
Kutokana na manyanyaso makubwa na mateso wanayoyapata pasipo msaada wafanyakazi hao wa Leopard tours wameamua kuandamana mpaka ofisini kwa mbunge wa Arusha mh. G. Lema kumfikishia kilio chao.
Chanzo: wafanyakazi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.