Recent content by Malcolm Zheng

  1. Malcolm Zheng

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa, Iran katupia missiles ngapi huko Marekani mpaka aelekee kushinda vita,?

    Marekani na Israel ndiyo mataifa ya kigaidi na kufadhili ugaidi duniani kutokana Matendo yao ya hovyo
  2. Malcolm Zheng

    JamiiForums Tanzania Marekani yamaliza 65% ya makombora kwenye vita ya Iran

    Marekani, Israel na washirika wake wamepiga hasabu zao hovyo kabisa wacha wanyooshwe!!
  3. Malcolm Zheng

    JamiiForums Tanzania Kombora Jericho likiandaliwa rasmi tayari kwa kazi huko Iran!!

    Iran siku akiomba mazungumzo vyombo vya Habari vya Magharibi vyote vitaiweka Habari kubwa na Trump kule kwenye Truth social yake atawekq mabandiko mengi ya kujisifu. Lakini mpaka kesho Iran hawataomba mazungumzo, Walitegemea baada ya kumuua Ali Khamenei Iran itapotea lakini ni kama hakijqtokea...
  4. Malcolm Zheng

    JamiiForums Tanzania Herbatical equivalent (special threads)

    Hii imeenda
  5. Malcolm Zheng

    JamiiForums Tanzania Muda ni Mwalimu mzuri sana: Siasa ni kama upepo, hubadilika wakati wowote

    Andiko makini sana
  6. Malcolm Zheng

    JamiiForums Tanzania Rubio: Israel na Lebanon ni wahanga wa Magaidi wa Hezbollah

    Ile Dhana ya " Great Israel " ni moja ya sababu hakutakuwa na Amani hapo kwa waarabu
  7. Malcolm Zheng

    JamiiForums Tanzania Mfereji wa Hormuz: Rais wa Marekani ahairisha oparesheni ya kusindikiza manowari za biashara

    Mfumo wa uongozi wa Iran ni imara kweli, na IRGC imara zaidi, dah Tanzania yetu ingekuwa na mfumo kama huu "decentralized but organized" tungekuwa mbali sana lakini ndiyo hivyo tena
  8. Malcolm Zheng

    JamiiForums Tanzania Graduate Volunteering Has Turned into Modern Slavery in Tanzania

    Andiko makini sana
  9. Malcolm Zheng

    JamiiForums Tanzania Ukisikia Total-Blockade ndiyo hii sasa, Mlango bahari wa Hormuz hapiti yeyote bila idhini ya US!!!

    Vita haimuumizi iran peke yake kwa sasa kila mtu anaonjaa joto ya jiwe! Haina haja ya kushabikia watu baadhi kuvamia nchi nyengine ikiwa uvamizi huo unaumiza mpaka wasio husika
  10. Malcolm Zheng

    JamiiForums Tanzania Ukisikia Total-Blockade ndiyo hii sasa, Mlango bahari wa Hormuz hapiti yeyote bila idhini ya US!!!

    Mkuu huwa unatoa hoja makini, Nakubali sana hoja zako Hongeraaaaa!!!!
  11. Malcolm Zheng

    JamiiForums Tanzania Hakuna jipya chini ya jua: Kinachomkuta Marekani nchini Iran kiliwahi wakuta watangulizi wake

    Kwani malengo ya vita ndiyo yalikuwa hayo??
  12. Malcolm Zheng

    JamiiForums Tanzania NIULIZE SWALI: Hii vita ya USA, Israel vs Iran, nani mshindi?

    Haijalishi nani mshindi, gharama za nishati kupanda zimemgusa kila mtu.
  13. Malcolm Zheng

    JamiiForums Tanzania BBC: Meli zashambuliwa Hormuz, nyengine zageuza baada ya onyo la Iran

    Trump atatoboa kweli kwenye uchaguzi wa November??
  14. Malcolm Zheng

    JamiiForums Tanzania Marekani na Israel zaanza maandalizi ya kuipiga tena Ira

    Israil hata siku moja hawezi ng'o!!! Kuvamia nchi kama Iran akiwa peke yake sababu Hana huo uwezo. Ingawa tunaambiwa Israil Ina jeshi bora, vifaa bora na tejnolojia ya Hali ya juu.
Back
Top Bottom