Recent content by Malcolm G

  1. M

    Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe

    Lazima tuwe so keen ktk kila jambo tunaloliona na kusikia,'mfuata upepo mwisho wa siku hukosa mwelekeo',we should be relying on FACTS and not STORIES.
  2. M

    Msajili aomba Mwongozo CHADEMA

    Nimeamini kwamba kweli waTanzania mfumo wa 'zidumu fikra za mwenyekiti' unatudumaza sana.Kama kweli CHADEMA wameondoa kipengele cha ukomo wa uongozi katika katiba ya chama hilo ni TATIZO,huwezi kukiweka chama kama taasisi ya watu wachache.Unapokosolewa badilika,CHADEMA tusijifanye MIUNGU watu.
  3. M

    Ziara ya Slaa Kigoma na Tabora ina tija kipindi hiki?

    Kama Slaa angekuwa kweli ana lengo la kuimarisha chama Kigoma,kwanin asisubiri vuguvugu la Zitto na Chadema lifikiwe muafaka?There z somthing wrong n this proves us that they know what is going to happen.The truth can never perish when a lie comes from a fool.
  4. M

    Hii ni kwa wapenda amani na maendeleo tu. Bavicha hawahusiki.

    Hapo dogo nimekusoma na BAVICHA wamekupata vizuri.Lengo lako hapa inaonekana si vijana kujadili kuhusu rasilimali zetu wala nini,ulilenga kuwachana BAVICHA.Mmmmh.
  5. M

    Baada ya vijana wa clouds fm kumsema Mwisho Mwampamba, mwenyewe afunguka

    Naamini Mwisho Mwampamba si mwendawazimu,hawa viruses katika tasnia ya utangazaji lazima wamelizua kweli.Unajua hao 'scumbags' wa hiyo redio nadhani ulimbukeni katika utangazaji hauwaishi tu,kila leo wasemwe wao tu na si wengine.Tatizo wanaendesha redio yao huku elimu na akili zao wakiwa...
  6. M

    Nape: Gazeti la Mtanzania wamepotosha kuhusu kauli yangu!

    Nape Nnauye,sura yako na vitendo vyako hata haviendani,unapoenda kudeliver speech yoyote ile kwenye public lazima ujipange,hasa wewe ambaye ni kiongozi mkubwa kabisa ktk chama chako.Take care bro itafika hatua mtapoteana hata mtaani mtakuwa mnaogopa kupita.
  7. M

    Ukimya wa ziara ya BUSH ndani ya mwamvuli wa mkutano wa wake wa marais, kunani?!!!!!

    Laiti siri hizi wanazozificha zikibainika,people shall be protesting 24/7.
Back
Top Bottom