Recent content by malande

  1. malande

    Pesa sio kila kitu

  2. malande

    Plot/farms for sale at kigamboni area

    1. 8 acres farm at kigamboni ,tundwi 40 km from ferry . 24m call 0786149592. 2 20acres farm at kigamboni kimbiji (puna )40km from ferry near the beach , 60mill call 0786 149 592. 3 .plot at mwembe mdogo kigamboni 20 by 20, 20km from ferry, 20mill, call 0717765110 4.1 acre plot at...
  3. malande

    Onyo kwa wanaume wanaojiona wanazo kumbe si lolote

    Eeebila hiyo huwezi ng`oa mzigo
  4. malande

    wanawake wanaojiuza kwenye mageto....sasa wamepanga karibia na chuo cha mwalimu nyerere..kigamboni

    biashara hiyo iko enzi na enzi kwa kigamboni hao wanachuo ni nyongeza ya wateja tu biashara hiyo ni kwa ajiri ya wanajeshi na mapolisi ili wakonge nyoyo zao baada ya na wakati wakazi. iwwe munyegeree.
  5. malande

    Kigamboni: Hali ya usalama si shwari

    kwa uyo mwanajeshi saizi yake wao hujishughulisha sana na wake za watu ,kama huko kigamboni waume hatujui hatima za wake zetu sababu yao.
  6. malande

    Hapa ndio nini?

    angalia tena nahiyo tena ilikua mchana kweupeee na tulianzia bafuni tukaja sebuleni tukamalizia hapo kitandani
  7. malande

    Hapa ndio nini?

    Kunarafiki yanyu wa kike nimependana nae kwa mwezi sas tatizo ni kwamba kila tuki do huniachia doa la damu kwanye shuka je hii ni nin/ wadau
  8. malande

    simuelewi mwanamke huyu

    appewe tuzo ya majimaramoja maharage ya mbeya mwanamke nilikuwa na test zari tu.
  9. malande

    simuelewi mwanamke huyu

    kwani yeye hana akili nigelimshauri ajinyonge angefanya hivyo??
  10. malande

    simuelewi mwanamke huyu

    wajameni nilikuwa na uhusiano wakimapenzi na mke wa jirani.kila mara huniambia ananipenda sana kuliko mumewe wa ndoa, siku moja nilimwambia kama kweli ananipenda aende akadai talaka ili tuwe pamoja .karudi kwangu anasema tayari kashapewa talaka nimuowe !!!?? simuelewi mwanamke huyu nimchukulie vipi?
  11. malande

    Wanapeta tz ktk hali hii ngumu

    napenda kujua hapa bongo watumishi wa kada ipi ndio wana maisha mazuri,eti nasikia maticha hoi na tra juu. kwa nini lakini
  12. malande

    Mwanamke anataka malipo

    wewe watu wanateswa kwa namna mbali mbali ,nahujikaza kisabuni midume mingi,wengine hutafuta mahali pa kukaa muda uende . nahilo limetungwa nanani? mwanaume mwenzenu anateswa .msimdhihaki
  13. malande

    Mwanamke anataka malipo

    hao wenyewe huwa wanaongea wakiwa uchi, nakama hutaki hutapata ukweli wajambo hilo na maguo yako. kwanza vua na utaona ukweli
Back
Top Bottom