Onyo kwa wanaume wanaojiona wanazo kumbe si lolote

Onyo kwa wanaume wanaojiona wanazo kumbe si lolote

ni bora niachane naye kwani anaonekana haelewi sijui nimwambie kilugha huyu naona hapo atanielewa na kuondoka na dhana hiyo potofu kwake ya kujiona anacho na kumbe si lolote wala chochote Dafo, chen, Ledwin hebu msaidieni huyu mwenzenu COURTESY
 
Last edited by a moderator:
Unajinyonga mwenyewe uandike alama ya namba ya simu huku unajifunga tena katika gereza la ukonga bora ujifunge katika gereza la keko tutakuelewa acha hizo wewe hiyo sio lugha tanabaha COURTESY

ladyfurahia leo vipi mbona umekuwa mkali hivyo?
 
si huyu conTESY anayeongea bila kipimo cha nazi ameniuzi sana anaingilia mambo yasiyomhusu humu ndani ya mtungi sijui kwaninin jamani tena ananitafuta niongee nami sitaki kuongea naomba kaka Rutashubanyuma umuonye na kumkanya nitamfanyia kitu mbaya na atanikumbuka milele kama mwenzie watu8 amwambie lakini sipendi mie hoyooooo!
 
Last edited by a moderator:
Habari wana jamvi wenzangu

Nimeona niingie hii room kwa style hii ingine kwa makaka, mababa, wadogo zetu na hasa ninaowasema haapa ni WANAUME ambao ni mabaladhuli kabisa, samahani sana kwa makaka wa humu jf sio wote ninaowazungumzia bali wako wachache wanaoharibu tabia za wanaume wengine, jamani usiombe ukakutana nao hawa watu hasa uwe ndo rafiki yao yani wataajishaua kwa kila kona na kujiona wanazo na kumbe hamna chochote wala llolote lile utakuta anasema kuwa anamiliki gesti bubu 5 kule mbagala mission, mara leo unakunywa nini nikununulie nina laki 10, mwambie akung'ute mifuko yake utaomba ardhi ipasuke uingie humo ndani hakuna lolote ni fix tu za midomoni, mwingine utasikia nikuingizie vocha ya sh ngapi katika line yako basi ilradi tu wanajishaua hawana kitu chochote hiyo yote ni kukukoga na kukudetisha tu we mdada kimbia achana nao kwani hawafai kitu. Nawaomba nyie makaka, mababa na wadogo zetu wa kiume acheni tabia hizo si nzuri tena zitaua hata familia zenu kwani unakwenda kumpa wa nje na huku familia inateketea acheni nawaonya MUAACHE NA MTUNZE FAMILIA ZENU.

Kama una papara ya kuparamia wanaume kwa kutaka wakupe pesa matokeo yake ndio hayo! Yaani mwanamke anayeomba omba vocha huwa anani put off kabisa!
 
si huyu conTESY anayeongea bila kipimo cha nazi ameniuzi sana anaingilia mambo yasiyomhusu humu ndani ya mtungi sijui kwaninin jamani tena ananitafuta niongee nami sitaki kuongea naomba kaka Rutashubanyuma umuonye na kumkanya nitamfanyia kitu mbaya na atanikumbuka milele kama mwenzie watu8 amwambie lakini sipendi mie hoyooooo!

ladyfurahia leo naona hakuna cha kufurahia.......mambo ni mazito kabisa........
 
sina hiyo tabia ndugu yangu mm ni mke wa mtu kabisa hapo nimeandika ili kuwaponya wanawake wenzangu ambao wamekumbana na majanga kama hayo beibe hivyo usiwe na shaka juu yangu
good day@Masaki
 
ni kama ulikuwepo kaka yangu Rutashubanyuma, ila nimemsamehe kabisa kwani mm ni mtu wa Mungu mwenzio akikuuzi huna budi kumsamehe na kusonga mbele na kumpenda nami nimempenda pia
 
Last edited by a moderator:
ni kama ulikuwepo kaka yangu Rutashubanyuma, ila nimemsamehe kabisa kwani mm ni mtu wa Mungu mwenzio akikuuzi huna budi kumsamehe na kusonga mbele na kumpenda nami nimempenda pia
 
Last edited by a moderator:
hivi kuna watu wenye sound za kiboya kama hizi kweli?
 
"... wape wape eeh vidonge vyao wakimeza wakitema shauri yao..."
 
Back
Top Bottom