Recent content by malale

  1. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba....!!!

    Komaa mwana wanataka wenyewe aki sawa sasa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nafokewa na mchumba

    Pole bwana mpige chini akufai mwisho wasiku atakupiga mbele ya marafiki.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wako kwa huyu mdada tafadhali

    Hacheni kuzungusha mambo,chakifanya apigemzigo chini maisha yasonge.
  4. M

    JamiiForums Tanzania kuna nini kichwani mwa mke wangu

    hakuna mchezo wowote mchafu kaka,unajua kina dada wanapata mda mwingi wa kuwa na familia nyumbani hivyo upelekea kumjua kili mmoja na tabia zake ndani ya nyumba,kutokana na mambo uliyo yasema hakuna kitu cha namna hiyo,nacho amini ni kwamba jinsi unavyompenda mkeo ndo yapelekea uwaze mambo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kwa watu kumzonga na kumzomea mwanamke kwa mavazi yake

    poleni kina dada lakini naona cha kufanya nikusoma nyakati kabla ya kutoka home naimani hakuna kaka hatakaye wasumbua,mwendako mambo mengini simpaka kufundishana yoyote kwa yote poleni.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Am back from the prison

    wacha ku2weka myo juu mzee wa minoti,wena semaje pende za nguvuni
  7. M

    JamiiForums Tanzania Angalia maana za hizi methali

    vijimambo
  8. M

    JamiiForums Tanzania Assume tunawaza kwa sauti

    madini kwanza,kilimo elimu badae msoma bwana.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume hawapendi kabisa romance...

    Ebwana kuna magashi pia hawamaindi mambo hayo
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tru love come once in a life time!!

    Mapenzi ya kweli ni kujarili kwa undani na umakini juu ya mtu flani ambaye umemwamini na kumpenda kupita wote.
Back
Top Bottom