Recent content by Malaika

  1. Malaika

    Je, ni kweli ukimpenda lazima umuhudumie?

    Je kama hana kipato kabisa,mfano umekutana naye hana kazi yupo kweny kutafuta,napo utahitaj huduma[emoji28]
  2. Malaika

    New comers udom

    je Bed wote wanapata mkopo?
  3. Malaika

    New comers udom

    Kuna hot watsup grup wakuu,tupien namba tupeane updates kirahis..
  4. Malaika

    First year wote wa 2015/2016 UDOM tukutane hapa

    naomben kujuzwa koz yangu ni Bed..in management&Administration,je ina priority kwa mkopo?kama fist yr wa hyo yupo apa tujuane
  5. Malaika

    kwa wale waliosahau password NACTE ina wahusu hii

    Naomba kuuliza wakuu,mdogo wangu aliapply capita teachers colleg dom,certfct,sasa je nayy asubir majibu Nacte au,mana aliaply direct chuo
  6. Malaika

    Wale wa UDOM

    Mm naombeni namba ya watsup grup nina swali naitaj msaada wa karibu..kwa wanafunz au aliyechaguliwa udom
Back
Top Bottom