Recent content by Malafyale dav

  1. M

    Lowassa: Nitakuwa Rais, ama kupitia CCM au nje ya CCM

    UKAWA Safari ya uhakika, watanzania tujue kuwa panya hawezi kuzaa mamba. Panya ni panya tu, Magufuli aliuza nyumba za serikali kwa bei ya kutupya na nyingine kugawa kwa hawala. Akiwa rais itakuwaje ? PANDA BASI LA UKAWA TAREHE 25/10/2015
  2. M

    Lowassa: Nitakuwa Rais, ama kupitia CCM au nje ya CCM

    Lowasa hata akienda ACT urais atausikia tu. Namshauri Lowasa aendelee na CCM kwani kwake jua limezama asubiri na kushuhudia kifo cha CCM, Huu ni mwaka wa UKAWA walibugi yeye na ZZK kuanzisha chama kipya na kuweka upinzani kwa vyama vya upinzani.
  3. M

    Kuna nini ndani ya moyo wa Lowassa?

    Lowasa anaumwa, kugombea urais ni tamaa ya madaraka tu. Kama mnabisha muangalieni anapotembea. Nadhani wakati umefika sasa watia nia wote wacheki afya zao bila kujali chama anachotoka. Shinikizo la damu, ukimwi/HIV, kisukari, Pressure na magonjwa mengine. Yeyote akigundulika kuwa na tatizo...
  4. M

    Edward Lowassa special thread

    Lowasa hana mtaji wa watu ila anawanunua watu, lowasa anahama na watu kwa kuwalipia nauli na kuwapa posho kama asante ya kumsindikiza. Wengi wao ni watu wasio na kazi na bodaboda ambao wanajaziwa mafuta na kifuta jasho kisichopungua 20,000 kwa mkutano mmoja. Hata hivyo ikumbukwe kuwa Muda wa...
  5. M

    Hii ndo tatu bora ya wagombea wa CCM

    Kama wana CCM watampitisha Lowasa itadhirisha kuwa ni chama ambacho hakina nia ya dhati kuwakomboa watanzania kutoka kwenye lindi la umasikini linalo sababishwa na rushwa, ufisadi, mmomonyoko wa maadili na mengine mengi. Lowasa alipokuwa waziri mkuu alitumia madaraka vibaya hata akajianzishia...
  6. M

    Hii ndo tatu bora ya wagombea wa CCM

    Lowasa aliomba ridha ya chama chake mwaka 1995 alikosa, na mwaka 2015 anaomc tena sio uroho wa madaraka kakini pia amewahi kuwa waziri mkuu alijiudhulu kwa kashfa ya Richmond, leo tumpe urais mtu ambaye alidumu kwa miaka 2 tu nafasi ya uwaziri mkuu na kisha kutuibia shilingi milionh 152 kila...
  7. M

    Harakati za uchaguzi jimbo la Rungwe Magharibi mkoani Mbeya

    Jimbo la Rungwe nh miongoni mwa majimbo ambayo yana mwamko mkubwa kisiasa. Mwamko wa kisiasa katika jimbo hili unatokana na kujitambua kwa wananchi lakini pia elimu waliyo nayo wana Rungwe kuhusu mambo ya siasa. Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA ndicha chama kinacho aminiwa na wananchi...
  8. M

    Kwa hili lazima Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) mdharauliwe milele

    Consultancy na sio Consulitancy na huo ni ukilaza mwingine Mbise, kuwa makini unajitia aibu kwa walio kuamini kuwa wewe ni msomi na kutaka ushauri wako kibiashara
  9. M

    Kwa hili lazima Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) mdharauliwe milele

    mbise umeprove kuwa wewe ni kilaza you failed to write business consultancy instead you wrote business consulitancy very shame for a graduate to speak in a public poorly
  10. M

    Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA, Zitto Kabwe ahamia rasmi ACT Tanzania

    Hatimaye aliyekuwa naibu katibu mku wa CHADEMA na mbunge wa kigoma kaskazini kupitia CHADEMA amejiunga rasmi na ACT chama analichokiasisi kwa ushirikiano na mbunge wa monduli Edward Lowasa ambaye kama atatoswa kugombea urais kupitia CCM naye atajiunga na chama hicho, Zitto alikaliliwa wiki...
  11. M

    Dhana ya USALITI ndani ya CHADEMA na Hatma ya Demokrasia ndani ya vyama vya Siasa

    Kwakuwa haupo kwenye CHADEMA au upinzani huwezi kujua usaliti maana yake ni nini ? na kama upo Upinzani siku ukisalitiwa na mkeo au mumeo utajua nini maumivu ya usaliti, hawa akina shoza, mwambapa walituhumiwa kukisaliti chadema na badae wakaenda CCM, Mkumbo na Samson Mwigamba watuhumia...
Back
Top Bottom