Recent content by maladoi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Huu ndio mkakakati wa CHADEMA kuteka taasisi za kitaaluma na kuzifanya za kisiasa

    Kila anaeitafuta haki yake nchi hii basi atakuwa mfuasi wa chadema. Ama kweli vichwa vingine ni kwa ajili ya kufugia nywele tu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akamatwa akiwa Mahakamani Kisutu, Aandika ujumbe mzito kwa Watanzania

    Angalieni jinsi wanavyomuongezea chura mwendo kwa kumpiga teke.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ndugu, jamaa na marafiki njooni tumtetee Makonda dhidi ya mapapa wauza unga wanaomzushia

    Hili jambo halitatulia kamwe mpaka hatua stahiki zitakapochukuliwa. Jambo hili litatumika kama reference kwa matukio yote yatakayofanana na hilo kutokana na maamuzi yatakayochukuliwa, iwe ni kwa kulinyamzia au kulichukulia hatua. Taswira ya taifa itaonekana jinsi swala hili litakavyomalizwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania SOKA NA MAHUSIANO YA KIJAMII.

    Hii ni kwa mashabuki wa Yanga tu. Tunawaomba mjiandae kisaikolojia kwani kesho watani wenu wa msimbazi watawachinjilia mbali kwa bao nyingi tu, huenda zikazidi zile mnazozikumbuka. Sababu zipo wazi.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Waafrika wakiwemo Watanzania ni wavivu, wanafiki na wazandiki kuanzia wanasiasa mpaka wananchi

    Mbona sote tunalijua hili. Kweli unashangaa vumbi kuwepo store?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

    Bado zamu yako ikifika utaomba tu kujiunga na chadema. Huko nyuma zipo taarifa kuwa hata mwenykiti wako mmoja aliwahi kufikiria kujiunga nao kipindi kile cha mizengwe. Marehemu spika alifanya kabisa mazungumzo na Dr Slaa kuhusiana na jambo hilo hilo na wala si mara moja. Yatakapokufika mwenyewe...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nini matokeo ya zuio kama Mbowe atatuhumiwa kwa kosa la mauaji?

    Bora umekubali kuelimika. Kweli leo nimejiuliza ni msemaji ukweli huyu huyu ambaye wakati mwingine hujenga hoja fikirishi, au mtu ame hack ID yake? Kama ni wewe yule yule basi huenda hoja nyingine unazoleta hapa huwa unapewa na watu mbali mbali na wewe ni mchapishaji tu. Kwa kweli ya leo iko too...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini nchi tulizozisaidia kwa hali na mali zetu huwa wanatudharau watanzania?

    Umewahi kumwona mtu akiwa mbele yako anaonekana nadhifu kwa mavazi yake lakini akikupita tu ukimtazama kwa nyuma yupo uchi!! basi huyo ndiye mtanzania ana mionekano miwili.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Kikatiba: Makonda, Sirro na Wambura wakataa kupokea wito wa Mahakama 'summons'

    Kutoka kwenye hoja mpaka kwenye kutukana? Dada angalia usijepata shinikizo la damu kwa kutetea vitu ambavyo ni ubatili mtupu chini ya jua.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Kikatiba: Makonda, Sirro na Wambura wakataa kupokea wito wa Mahakama 'summons'

    Mjinga anajitambulisha kwa namna nyingi.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

    Sadist at work.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Manji atakiwa kuripoti Ofisi za Mamlaka ya Uhamiaji. Pasi 126 za kusafiria zakamatwa ofisini kwake

    Hakika umejawa na hila na chuki. Huna tofauti na mafarisayo ambao tumeabiwa tujiepushe na chachu yao.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Madawa ya Kulevya Awamu ya III: RC Makonda amkabidhi majina 97 Kamishna Mkuu wa madawa ya kulevya

    Ukweli ni kwamba alimfananisha Lowasa na mtume Mohamed S.A.W siku aliyoingia Dar kutafuta kura za wadhamini. Na wewe bibie uliufyata. Kweli surat mnafikun uliandikiwa wewe.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Kashilila: Maazimio ya Bunge kutaka RC Makonda kuja bungeni, hayakufuata Sheria

    Si uwengeweka andiko lake hapa!! Vinginevyo unatuletea majungu.
Back
Top Bottom