SOKA NA MAHUSIANO YA KIJAMII.

maladoi

Senior Member
Jun 20, 2016
117
87
Hii ni kwa mashabuki wa Yanga tu. Tunawaomba mjiandae kisaikolojia kwani kesho watani wenu wa msimbazi watawachinjilia mbali kwa bao nyingi tu, huenda zikazidi zile mnazozikumbuka.
Sababu zipo wazi.
 
Back
Top Bottom