Sodoku
JF-Expert Member
- Feb 3, 2016
- 1,266
- 2,870
Kwa bahati mbaya sana nimefanikiwa kutembelea na kukaa nchi zaidi ya 5 hapa duniani. lakini kuna watu ambao siwezi kukubaliana nao kabisa kwa masuala ya Kuaminiana. Wazungu wana utamaduni mmoja. Kama Mr Smith amekutana na Mr. John kufanya Biashara flan wakakaa wakaongea na mwishowe kukubaliana kuwa Mr Smith atauza gari lake kwa John kwa USD 200 wakaongea na baadaye wakafikia kuagana wakasimama wakapeana mikono maana yake That Deal is Sealed. yaani ndo imeshakamilishwa sasa ni kesho kufuata hatua na taratibu za kisheria. ikitokea Mr John akapata mteja mwingine anataka garihiyo kwa USD 250 au USD 300 kwa masikitiko kabisa atamwambia tayari ameshapatana na mtu mwingine. atamkatalia. asilimia kubwa wazungu wapo hivi. hutunza heshima zao na makubaliano.
kwa mswahili: Ndugu Ndungunye akitoka kubargain na Bw. Nzomoko wakakubaliana kuwa amuuzie gari kwa Tsh 200 na wakakubaliana. akitoka nje akakutana na Bw. Bongoyeye akamwambia ye yupo tayari kununua hiyo gari kwa Tsh 230 hapo Bw. Nzomoko anampiga chini Bw. Ndungunye anamuuzia gari Bongoyeye. au anaweza mpigia simu Ndungunye kumwambia amewaza ameona Tsh 200 hailipi Hivyo aongeze amuuzie kwa 235. Ndungunye akisema mbona tulishakubalina nami ndo ninayo hiyo. Nzomoko atamwambia ngoja afikirie maana kuna mteja anaitaka kwa Tsh 250. ndo basi tena kesho akiiuza atazima na simu au atakuwa hapokei . uaminifu au kuheshimu mikataba hamna.
Haya ndo maisha ambayo tuliyachagua ni maisha free style. hatuna kanunsi hatuna mipango. tunaongozwa na hisia na mihemko. hatuna jambo la kitaifa ,hatuna jambo la kutuvuta pamoja. miaka na miaka. hapa tutaweka Suala la Vyama tukikoswa na vyama Tutaweka suala la Dini. haya yatatusahahulisha utanzania. hapo tutamkosoa mtu kwa sababu yeye ni Dini X na tutamtetea mtu kwa sababi yeye ni dini Y. au kwa kuwa ni chama chetu tutamtetea na kwa kuwa ni chama kile tutamponda. haijalishi amefanya nini.
haya ndo yamekuwa matatizo ya msingi ya watanzania ingawa hatutaki kuyaona. ndo yapo hivyo. USA wana sababu za kumchagua Donald Trump wanajua kwa nini walimchagua yeye.... si kwa sababu hawana akili au kwa sababu wana akili sana. wana sababu zao. na wameheshimu. kwa wale ambao hawakukubaliana naye wamepewa uhuru wa kuelezea hisia zao kwa namna watakayo pasipo kuvuruga amani. kwa nchi za Afrika utalazimishwa umpende kiongozi au mtawala hata kama hukuridhishwa naye. huu ni unafiki na tunatengeneza watu wanafiki.
kwa tanzania viongozo wa dini wapo kimaslah. wengi asilimia kubwa wapo kimaslah. nchi za ulaya na marekani wao huweka wazi misimamo yao kuwa mimi nampinga x kwa sababu 123 au namkubali y kwa sababu 123. na huwa wanabaki hivyo mpaka watakapoona zile tofaut zimerekebishwa. huku kwetu ni tofauti tunaangalia maslah zaidi.
Watanzania hatujui tunataka nini. hatujui mpaka leo tunataka rais wa namna gani. hatujui mpaka leo tunataka wabunge wa namna gani na ndo maana kuna wabunge wapo bungeni ukiwasilikiza roho inauma sana unapokatwa kodi kulipia posho zao. unajiuliza hawa walichaguliwa na wananchi wao wakiwa wamelewa au walipatwa na ulemavu waubongo kwa kipindi hicho. ni wabunge ambao ni hopeless kabisa. ni kwa nini wapo mle sababu watanzania hatujui tunataka nini.
Unafiki wetu ni wa kiwango cha PHD kabisa. ni unafiki ambao haujawah kutokea duniani. na hili linatufanya tutumike tu kila wakati .... wananchi wanatumika kinyume kabisa na matumizi ya kawaida. na wanajua lakini hawajali. wameamua kuishi maisha hayo. mambo ya msingi tunapuuzia na mambo ya kipuuuzi tunashupalia. ndo maisha tuliyoachagua kuishi kama taifa. ni taifa double standard ambalo sijaona bado sehemu nyingine.
Wazungu wana upuuzi wao mzuri kiasi. ni wawazi.. wanaruhusu ushoga waziwazi ili watu wasiwe wanafiki kupinga ushoga huku wakiufanya. uarabuni wanaweka sheria kazi za kutishia ila kuna ushoga mkubwa sana kama ulaya na marekani. upo sana. Mungu aliweka Kila kitu mbele zetu akasema "nimeweka njia mbili mbele yenu. ya mema na mabaya. chagua mema ukaishi na chagua mabaya upate mauti" binadamu wamekuwa wanafiki sana watanzania tumekuwa wanafiki kwa kiwango kikubwa. ushoga umesambaa washoga tunao na mitaa yao inafahamika sana kinondoni, ilala, magomeni na sehemu kadhaa.
kuna miji ambayo inafahamiaka kwa ushoga zanzibar,tanga,dar,lamu na mombasa. kwa afrika mash. lakini huko huko kuna wapingaji wengi sana ....wanaodai wanapinga ingawa wao ndo watendaji. afrika tunapinga ushoga lakini tunapobanwa mbavu na mataifa hayo... tunalegea na kuruhusu. angalia museven uganda n.k
itatuchukua miaka 2000 tena kuweza kufika level ya maendeleo ya waliyofika sasa wenzetu na wakati huo wao watakuwa wametangulia mbele sana na pengine kufika huko tunakoenda kama ulimwengu.