Recent content by Makwizi Band

  1. M

    GE2025 CUF: Tutamwandikia GSM atuchangie kama kweli ana mapenzi ya kuimarisha demokrasia nchini

    Kafu na ACT wanaweza kupewa, Chadema sio rahisi na CHAUMA ni fifty fifty hasa baada ya ujio wa Mpina is wasn't ochestered by Lumumba stadium
  2. M

    UNACHANGISHA BIL.100 KWENDA KWENYE UCHANGUZI ILI USHINDANE NA VIKARAGOSI VYAKO ULIVYOVICHONGA MWENYEWE

    Remember, they have to finance those vikaragosi as well; where are they going to get the money for VIKARAGOSI? They have to take some from the Tanzanian tycoons
  3. M

    Huyu ENG. Hersi wamzuie mapema ataleta mtikisiko wa Kidiplomasia Afrika Mashariki na kati

    Mtu anae gombea kidemokrasia anaivurugaje nchi? Kama kua na tamaa ya madaraka then tuwalaumu ccm wote cause HATA wao wanajua kua hawapendwi lakini wanatumia police, jeshi, TISS nk kukaa madarakani na wala hatuwakaumu
  4. M

    GE2025 Mhe Bwege: Matokeo yoyote tutakayopata kwa Uchaguzi huu ni kutokana na msimamo wa CHADEMA, asema vyama vingine ni vinyonga

    Wajumbe wana nafuu kubwa sana kaka, wajumbe wanakukata mara 1 then mtakutana after 5 years, wale wa Kilwa ni balaa, imagine mgombea anaweza kupotea na gari mazima yaani, yaani yeye na gari wote wanapotea, just imagine
  5. M

    Muslim Brotherhood sio tu shirika la kigaidi, ni mama wa kiitikadi wa vikundi vyote kuu vya kigaidi: Al-Qaeda, ISIS, Hamas, Boko Haram, Al-Shabab, etc

    Unachanganya sana mambo, sijui kwa kujua au kutokujua? Waislamu dini yenu inalalamikiwa kwa kusababisha mauaji, fujo nk, yanatumika maandiko yenu kuhalalisha hayo mambo. Uliyem quote hataji au kuwalalamikia Waislamu, anaiponda dini. Well, hebu taja andiko alilotumia Hitler kuua Wayahudi...
  6. M

    Mifumo Haina ushirikiano

    Kusingizia visivo singizika; hivyo vitu vilivyo tajwa hapo ju enzi za TANU vilikuwepo? Walaumiwe watawala waliopo sasa na sio wazee wale wa TANU ambao degree holders huenda hawakuzidi 5, leo kila mtu hadi mtoa risiti anayo halafu uilaumu TANU? Interesting, nyie ndio mnalaumu ukoloni eti...
  7. M

    Korea Kusini yaanza kuondoa vipaza sauti kwenye mpaka na korea kaskazini

    Wanatumia kitabu gani kaka? Manabii wao ni kina nani? Mungu wao je? Maanake mungu wa Waislamu ni Allah, Wakristo ni Yehova nk
  8. M

    TANZIA GE2025 Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

    Nina hakika wale wanamshikiria Tundu hawana mioyo ya binadamu, sio kwa ukatiri ule; shetani akasome yaani so sioni kama wanaweza kujifunza chochote kupitia kifo hiki
  9. M

    Sudan: Watu wameanza kula majani ya pori au chakula cha mifugo ili kuendelea kuishi

    Halafu kina Webabu wapo busy na njaa ya Wapalestina while waongo tu, huwasikii wakiwa busy na our fellow blacks! Israel Vs Hamas utadhani tuna undugu nao.
  10. M

    Wanajeshi IDF wafichua Oktoba 7 ilikuwa mpango wa ndani

    Kwa haraka haraka unaweza kuiamini hi HABARI lakini ukitafakari na kuunganisha dots kadhaa, unapata ukakasi wa kuamini hi habari. We all knows uhusiano uliokuwepo na uliopo kati ya Iran, Hamas, Hezbollah, Syria ya Al Asady, Houthis nk; wote walionesha kufurahishwa na tukio au shambulio lile la...
  11. M

    Korea Kusini yaanza kuondoa vipaza sauti kwenye mpaka na korea kaskazini

    Ina amini katika Mungu yupi? Na siku yao ya kusali ni lini? Kumbuka enzi za Nyerere hata sisi tuli practice ukoministi
  12. M

    Mwanamichezo nyota wa Gaza afa kwa njaa

    Kupitia vita hi, viongozi wa Hamas wanatajirika sana, wale viongozi wao walio uawa wote walikua ni mabilionea, binti wa Yasser Arafat nae is one of the big billionaire so wananchi wanatumika kama shield tu na sie wavivu wa kufikiri tunalaumu Israel while Hamas wanapenda vita iendelee. Jiulize...
Back
Top Bottom