Recent content by MAKWILO ALLY MAKWILO

  1. MAKWILO ALLY MAKWILO

    JamiiForums Tanzania Nampenda Mbitiyanza

    ili iweje
  2. MAKWILO ALLY MAKWILO

    JamiiForums Tanzania Lini Rais wetu Dr. John Pombe Magufuli atahutubia UN?

    ili iweje
  3. MAKWILO ALLY MAKWILO

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Prof. Lipumba kuhamia ACT Wazalendo muda wowote

    Taarifa hii ikiwa ni kweli basi tanzania tutakuwa na ombwe la wasomi
  4. MAKWILO ALLY MAKWILO

    JamiiForums Tanzania Mbona Magufuli anaanza kama Kikwete Tena? Hii nayo Nguvu ya Soda...?

    Wana jf.Kinacho endelea na serikali ya magufuli ni danganya toto tunataka mafisadi papa wakamatwe. sio vidagaa wakamatwe mafisadi wote walitajwa na dk.slaa pale mwembe yanga.akamate mapapa wa ufisadi na sio kukamata vidagaa.
  5. MAKWILO ALLY MAKWILO

    JamiiForums Tanzania USAHIHI: UKAWA hawajagawana Majimbo

    sawa kabisa tumekuelewa
  6. MAKWILO ALLY MAKWILO

    JamiiForums Tanzania Tambua Wizi mpya wa Vodacom Tanzania, Serikali iko kimya

    Hii ndio tanzania bwana.
  7. MAKWILO ALLY MAKWILO

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Jaji Lubuva utakuwa adui mkuu wa demokrasia

    MBOWE au UKAWA.
  8. MAKWILO ALLY MAKWILO

    JamiiForums Tanzania Diwani wa kata ya ubungo CHADEMA, Jimbo la Ubungo

    BONFAS JACOB.hata mimi ndio mwalimu wake ktk siasa.baada ya kushawishiwa na m.kiti wa wazee jimbo la ubungo na kujiunga na chadema.tulimshawishi agombee uongozi ktk chama,akafungua tawi ubungo kisiwani na yeye kuwa m.kiti wa tawi mwaka 2009 aligombea uenyekiti wa mtaa wa kisiwani na kuwa mshindi...
  9. MAKWILO ALLY MAKWILO

    JamiiForums Tanzania MAAZIMIO YA KIKAO CHA BARAZA KUU LA UONGOZI LA TAIFA LA CUF Tarehe 03-05 MEI 2014

    Ahante kwa taarifa ujumbe umefika.
  10. MAKWILO ALLY MAKWILO

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, wakati umefika wa kuwasamehe Zitto na wezake

    Mnao endelea kupinga sio viongozi ktk chadema. naishauri kamati kuu.
  11. MAKWILO ALLY MAKWILO

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, wakati umefika wa kuwasamehe Zitto na wezake

    Ktk kuwashirisha cuf na nccr nani kaomba msamaha.
  12. MAKWILO ALLY MAKWILO

    JamiiForums Tanzania Wafutao ni wabunge wakitaifa wakigombea jimbo lolote wanapita

    Ubungo hatumuoni mnyika. atachaguliwa na nani.
  13. MAKWILO ALLY MAKWILO

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, wakati umefika wa kuwasamehe Zitto na wezake

    Katka msamaha ni kukubari kupoteza pia baadhi ya misimamo.
  14. MAKWILO ALLY MAKWILO

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, wakati umefika wa kuwasamehe Zitto na wezake

    CHADEMA sasa inapaswa kupitia upya na kufanya masahihisho. kwa maamuzi yote magumu yaliyo wahi kuchukuliwa na vikao vya chama hasa KAMATI KUU.kwakuwa imeweza kutengua msimamo wake na kuvunja serikali kivuli bungeni na kuunda serikali ya pamoja inayo wakilisha upinzani bungeni na...
Back
Top Bottom