Recent content by makwega7

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Refa Akikosea, Shughuli Yake Imeisha: Wallace Karia

    Si hiari yake alipewa "take care" ndio akachiwa uraisi TFF. Uraisi mtamu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

    Nimepitwa. Pius Msekwa ameaga dunia lini?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

    PLAUZ ikibana nyanya kiapo kinatupwa kule, atataja mpaka ambao hakuulizwa.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

    Wengine wanaweza kujiua, ukizingatia ni watu wazito, wakubwa wenye kuheshimika lakini fake IDs zikawadanganya na kufanya tofauti na heshima zao au nafasi zao au kuaminiwa kwao.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Uvamizi uliofanywa ofisi za JamiiForums haujaathiri Shughuli, Miundombinu na wafanyakazi

    Inawezekana mnatulizwa ili msiingie taharuki zaidi huku mkisubiri kudakwa kama kuku mwenye ugonjwa wa kusinzia.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

    Kunguru moga huficha ubawa wake.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Hakuna uvamizi uliofanyika katika Ofisi za JamiiForums

    Serikali haina holiday kwenye swala la usalama. .
  8. M

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

    Saver ndogo zinakuwepo hapa hapa. Kipindi cha Jiwe vyombo vya habari vyote ikiwemo mitandao ya kijamii walitakiwa ilitungiwa sheria kuhakikisha Serikali ikihitaji backed up taarifa waweze kuzipata na njia moja wapo ni hizo server. Hukumbuki AZAM MEDIA server zao zilikua Mauritius baada ya takwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nashangazwa sana na watu wa Pwani hasa Tanga wana mambo ya ajabu sana

    Keshapakwa kasumba huko atokako na sijui kama si kanisani. Anadharau wenyeji wake pengine yeye mwenyewe akienda chooni hata maji hayajui. SHENZ TAIP
  10. M

    JamiiForums Tanzania Manguli wa uchambuzi waendelea kumpumulia Polepole, Majjid Mjengwa naye asema gesi ya Tanzania ni bei rahisi kuliko Cuba

    Mbona ameshindwa kuhoji BEN SAA NANE , na risasi za LISU au ripoti zilishatoka?
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Amani Golugwa: Tumemuandikia barua mkuu wa majeshi alisaidie taifa pawepo na uchunguzi ili taifa lijiridhishe tuhuma mfumo wa uchaguzi uliongiliwa

    Naiwe hivyo ili watie AKILI na kukurupuka kwao. CHADEMA wamechanganyikiwa kijiondoa kushiriki huo wanaoita UCHAFUZI. Walidhani watabembelezwa bembelezwa na kudekezwa kama awamu ya MSOGA. Walijua wakiwa na backup ya kina WARIOBA na MAASKOFU basi Serikali shupavu ya JAMHURI YA MUUNGANO WA...
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haji Manara kurejea Simba, na Ahmed Ally kupandishwa cheo

    Haji asikubali mpaka alipwe advance angalau 20% ya mkataba. Gabachoti ni Janja janja sana huyo, unaweza ukaenda ukajikuta hatimizi ahafi.
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mafanikio ya simba sc kwa msimu huu

    Sio hizo namba tu, na namba za idadi ya magoli mliyotufunga kutoka 7 kwa mechi 2 msimu uliopita hadi magoli 4 tu tena kwa mechezo 3 kwa msimu huu ulioisha. Hii ni tremendous improvement.
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna timu imetoka pre season wachezaji wana vitambi

    Uto wakifanikiwa kuwafunga Madunduka magoli kuanzia 4, waweke hili BANGO. NGUNGU BOY lazima atimuliwe.
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakala wa Mzize: Yanga wameamua kufanya kazi unprofessionally

    aka WINGA
Back
Top Bottom