Mafanikio ya simba sc kwa msimu huu

Mafanikio ya simba sc kwa msimu huu

Hatukuwacheka kwa kuanzisha whatsapp Channel.

tuliwacheka kwa kuihesabu whatsapp Channel yenu mliyoianzisha kama moja ya mafanikio.

Hata sasa mnatuchekesha kwa kujiita giant afrika kisa kuwa namba tano kwenye rank za CAF.

Haha kwa hakika makolo mnatia huruma na kuhuzunisha.
Angalia namba hizo ...alafu jilinganishe na mliowacheka😂😂 👇👇

Screenshot_20250811-165727.jpg
 
Na hizi namba ni mafanikio yenu ya msimu huu ulioisha wa 24/25?
Sio hizo namba tu, na namba za idadi ya magoli mliyotufunga kutoka 7 kwa mechi 2 msimu uliopita hadi magoli 4 tu tena kwa mechezo 3 kwa msimu huu ulioisha.
Hii ni tremendous improvement.
 
Back
Top Bottom