Recent content by Makuzamkumbo

  1. Makuzamkumbo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kila mzazi achunge mtoto wake kwenye malezi na sio kulaumu Serikali kwa kila kitu

    Wasingezagaa mitaani wakiombaomba
  2. Makuzamkumbo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kila mzazi achunge mtoto wake kwenye malezi na sio kulaumu Serikali kwa kila kitu

    Wazazi wenyewe ndio Hawa wafanya-ngono holela na kutiana mimba ovyo kutelekeza watoto bila uangalizi huku watoto wakijilea wenyewe mitaani? Wazazi wenyewe ndio Hawa wapinga-ndoa na kuhamasishana kuzaliana ovyo bila mpangilio kama mende? Wazazi wenyewe ndio hawa wanaotelekeza familia na kwenda...
  3. Makuzamkumbo

    JamiiForums Tanzania Uamsho - Akutendae mtende, mche asiyekutenda

    Mbona bado wametutawala
  4. Makuzamkumbo

    JamiiForums Tanzania Urusi na Ukraine: Kwanini uongo unaonekana kuwa na nguvu kuliko uhalisia?

    Ungechambua bila kuegemea upande wote ningekuelewa ila wewe Kuna upande unashabikia Kwenye vita yoyote majeruhi wa kwanza anayejeruhiwa vibaya na pande zote zinazopigana ni ukweli so huwezi kupata ukweli vitani kama unavyotaka kusema hapa Vita hupiganwa Kwa propaganda mno kuliko uhalisia na...
  5. Makuzamkumbo

    JamiiForums Tanzania Kwenye maisha yako ya utafutaji, usije ukarogwa ukakimbilia Moshi

    Sasa laana za huo mji ndio zimemsababishia umaskini?
  6. Makuzamkumbo

    JamiiForums Tanzania Kwenye maisha yako ya utafutaji, usije ukarogwa ukakimbilia Moshi

    Udogo wa hako kanji ndio umekusababishia umaskini?
  7. Makuzamkumbo

    JamiiForums Tanzania Kwenye maisha yako ya utafutaji, usije ukarogwa ukakimbilia Moshi

    Hasira za msukuma kuelekea uchagani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkiwachukia nyie baadhi ya sukuma gang haimaanishi wachukiwe na kila mtu kama unavyotamani iwe
  8. Makuzamkumbo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aghairi kufunga ndoa iliyogharimu Tsh. 950m baada ya Mchumba wake kukataa kusaini PreNup

    Mambo ya gugo tiransileiti hayo man[emoji3064]
  9. Makuzamkumbo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aghairi kufunga ndoa iliyogharimu Tsh. 950m baada ya Mchumba wake kukataa kusaini PreNup

    Acheni janja janja Mali nilizochuma kabla hatujaoana zinakuhusu Nini? Tulizochuma pamoja ni sawa una haki, Halafu kufua na maswala ya usafi ni kitu Gani? Anaajiriwa mtu wa kufanya yote hayo mbona
  10. Makuzamkumbo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Babu alinipa usia mzuri kuhusu wanawake

    Si ni wewe ulikuwa unalialia hapa kunyimwa na Hela ukatoa ila wenzako wakapewa na hawakutoa chochote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  11. Makuzamkumbo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu Demu alinifanyia Mupe Muruke akidhani Dunia imeishia pale kuzunguka.

    a.k.a chai
  12. Makuzamkumbo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu Demu alinifanyia Mupe Muruke akidhani Dunia imeishia pale kuzunguka.

    Toka lini misukule ikawa na akili
  13. Makuzamkumbo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu Demu alinifanyia Mupe Muruke akidhani Dunia imeishia pale kuzunguka.

    Sasa wewe kunyimwa umenyimwa na Hela umetoa, waliopewa hawajatoa hata mia sasa nani fala hapo bwege wewe
  14. Makuzamkumbo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu Demu alinifanyia Mupe Muruke akidhani Dunia imeishia pale kuzunguka.

    Fala tu huyu halafu anajikuta mjaaaanja
Back
Top Bottom