Recent content by MAKUTUPULA

  1. M

    KERO Kila mtoto anatakiwa aende na kiasi cha Tshs 1,500 (Shule ya Msingi Makabe)

    Walimu wanalengo kubwa sana kukuza elimu japo wazazi tunaona kama wanataka pesa mie mtoto wangu kila siku 500 ya homework ukupiga gharama ya karatasi na muda wa mwalimu wa ziada kusahihisha ni jambo la kujitoa sana. wazazi tubadilike sio kulalamika
  2. M

    Mfumo wa kubadilisha Combination kidato cha nne haufanyi kazi

    Wadau kwema Toka waziri wa Tamisemi atoe Tangazo la kubadilisha mchepuo ya kidato cha nne ulifanya kazi siku moja tu na iligoma gafla kabla ya kumaliza kubadilisha baada ya hapo haikubali tena,wametoa no za simu +255 216 0210 ukipiga imefungiwa email hawajibu wakati wamesema mwisho wa kubadili...
  3. M

    Aliyetoa ushahidi wa uongo kuwa baba yake alimlawiti na kupelekea baba yake kufungwa miaka 30 amlilia Rais

    Inaumiza sana ,ila navyojua lazima mtoto alipimwa hospital kudhibitisha kama kweli ameingiliwa
  4. M

    Nakushauri nunua Alphard utaona matunda yake

    😁 😁 😁 😁 😁 Wabongo bana
  5. M

    Uhamiaji hawaoni aibu kutoa passport laki mbili kwenye nchi yenye watu milioni 55?

    Kila mtu akipewa pasipoti hvyo kumbuka Kuna watu sio watanzania wanataka mnooo itakuwa hatari kwa nchi, pia zingatia pasipoti maalum kwa wasafiri tu sio kila mtu awea nayo kama NIDA
  6. M

    Nimejipanga kumshikisha afisa uhamiaji pesa za PCCB

    Vizuri ungewasiliana na viongozi wao WA juu ili upate huduma tena kwa uharaka kwa maana unatuma gharama kubwa kutoka manyara mpka chuga au singida
  7. M

    Rais Magufuli aagiza vijana 800 wa JKT kuajiriwa

    Uzalendo unalipia, nendeni mkajenge taifa
  8. M

    Nani alaumiwe

    Watanzania tumekuwa watu wa kulalamika kila kukicha ofisi za Serikali zinazotoa huduma mbaya bila kufuata utaratibu lakini lazima tuangalie nani alaumiwe,watanzania tuko zaidi ya milion 50 lakini wachache sana tunafunya mambo ya msingi bila kupelekeshwa. Mfano vitambulisho vya NIDA walianza...
Back
Top Bottom