Recent content by makuti

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji XBOX 360 controllers

    Kaka Franco, shukrani sana. nilienda na nimewaona kweli nimefanikisha. cheers!!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji XBOX 360 controllers

    Heshima kwenu wakubwa! Nahitaji kununua XBOX 360 controllers kama hautumii tena hata kama ni used, iwe tu inafanya kazi vizuri. Tafadhali nitumie ni-PM ahsanteni sana. Shukrani!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Must see Movies

    1. Enemy at the gate 2.Mama 3.A walk to remember 4.Pursuit of happiness 5.Lone survivor 6.A walk in the cloud 7.The Shawshank redemptio 8.Invictus 9.The lord of the rings 10.Inceptio 11.Memento 12.The green mile 13.Argo 14.Stand by Me I have seen a lot of good movies, lets end here for today.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Htc one inauzwa

    HTC ONE imetumika miezi sita na iko katika hali nzuri , haina tatizo lolote. Ina kila kitu chake kwenye box kama inavyoonekana kwenye picha. Bei ni 850,000/= Anayeihitaji ni PM, Ahsanteni wote.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwa anayeuza cd za games xbox 360

    Kama una CD za games za XBOX 360 ambazo umezitumia lakn bado zina-PLAY na huzihitaji tena, NI PM aina ulizonazo na bei zake. Ahsante
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nauza gari toyota carina ti km 38400 tu.

    Wana JF heshima kwenu!! Kwa wote mliotembelea uzi huu nawashukuru sana, hatimaye namshukuru mungu Nimeuza gari leo, japo sikubahatika kumuuzia mwanaJF. ahsanteni na nashkuru kwa ushauri kwa waliotoa. Thanks!1
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nauza gari toyota carina ti km 38400 tu.

    @CYBERTEQ mkubwa ni kweli gari iko poa sana, na atakayeipata atakuwa amepata gari, Bei haijasimama kiongozi ndio maana nimeandika maongezi yapo. Gari bado ipo kwa anayeihitaji. Karibuni!!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nauza gari toyota carina ti km 38400 tu.

    Masanilo, siwezi kuchakachua kwani mimi sio mfanya biashara wa magari, nimenunua kwa matumizi yangu na nimepata gari nyingine hii sina kazi nayo ndio maana nauza.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nauza gari toyota carina ti km 38400 tu.

    CC 1490 mkubwa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nauza gari toyota carina ti km 38400 tu.

    Habari zenu !! Nauza gari TOTYOTA CARINA TI kama maelezo yake hapa chini: CAR: TOYOTA CARINA YEAR: 1999 KM : 38400 Transmission: AUTO Imetummika: TZ miezi mitano tu. Insurance: Comprehensive, expire date November 2013 Motorvehicle license : expire date November 2013 BEI: 9 MILLION...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya kupanga iwe vyumba viwili, sebule na jiko ndani na iwe self

    Heshima kwa wote!! Nahitaji nyumba ya kupanga iwe vyumba viwili vya kulala, iwe na jiko na sitting room na iwe self ndani. Maeneo: Magomeni, Moroco ya Alhassan mwinyi, Upanga, maeneo ya victoria na ya karibu na maeneo hayo Kodi: Budget ni 250,000/= mpaka 300,000/= kwa mwezi ( kodi miezi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania simu zimeanza kupigwa landmark for interview

    Heshima zenu? Kwanza kabisa mara nyingi HR Department za ibongo huwa wanaweka malengo na ni ngumu au hayana uhalisia ktk utekelezzaji na ndio ujanja ujanja unapoanzia, nina uzoefu mkubwa wanakuambia tareh 20 usaili wakati hata kufupisha orodha (shortlisting) hawajafanya/hawajamaliza. Na kama...
  13. M

    JamiiForums Tanzania ni mwalimu anataka achome meli moto lakini ....

    Wakubwa heshima zenu , na wadogo marhaba. Unajua huwezi kuwa Bepari "Capitalist" na muda huo huo ukawa mjamaa" Socialist" . Kutaka kuanzisha biashara ni ubepari mzuri tuu kwa kutaka kujilimbikizia mali na kufaidi maisha kwa vitu vizuri kuliko wengine, na Kuwaonea huruma wanafunzi na kuona...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wife controller........!!!!!

    Duh!! Inafanya kazi kwa wote kama UNIVERSAL CONTROLLER? au ni kwa wife tu. Bora iwe Universal.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Lcd au led tv inches 28-32" inahitajika

    laki sita na elfu sabini (6.7) samsung 32 LCD. Ni PM kama bado hujapata!!!
Back
Top Bottom