Recent content by Makunguru

  1. M

    CEO wa FastJet afukuzwa kazi, kampuni hatarini kuishiwa fedha

    Muwe kwanza mnaelewa maana ya budget carrier na jinsi wanavyo-operate. Kama mzigo wako uliona ni mkubwa ungeenda kwa wengine uone muziki wake. Budget carrier maana yake ni kwamba zinapunguza mzigo ili zichukue mafuta mengi zaidi ya kuwezesha kufika maeneo mengine kwa siku moja. Mfano mzuri wa...
  2. M

    Magufuli angalia hili la Hidodoma na vijiji jirani

    Nilibahatika kutembelea kijiji cha Hidodoma. Kijiji hiki kipo wilaya ya Mpwapwa mpaka na mwa wilaya ya Kilolo. Karibu yake ni wilaya ya Kilosa. Pamoja na mambo kadhaa ambayo ni kawaida kwa vijiji vingi Tanzania hali niliyoikuta kuhusu ELimu na Afya inahitaji action mara moja. Siku nilienda...
  3. M

    Jeshi la Israel sasa kutumia ndege za kivita F-35 zenye uwezo mkubwa

    Si kweli kwamba Johnson hakujiingiza vita ya 1973. Baada ya mama kuzidiwa na waaarabu from south na Lebanoon pamoja na Syria on the north akatangaza wazi wazi kuwa analipua mtambo wa nuclear ili kila mmoja duniani afe. Kwa wakati huo walikuwa na missiles 8 mbili tu katika hizo zikiweza angamiza...
  4. M

    Jeshi la Israel sasa kutumia ndege za kivita F-35 zenye uwezo mkubwa

    He who made RADAR has also made planes unnoticeable by RADAR! Can't understand
  5. M

    Why Facebook Co-Founder Mark Zuckerberg is an Atheist?

    Mengi, Kingunge Kambare Mwiru, Stalin, Chairman Mao, etc
  6. M

    Shamba Linauzwa Vianzi, Vikindu

    King90, Mache, Chache1, Rakeem; wenye kuhitaji seriously wameshafika na kununua portions mpaka kwa majirani zangu already. Nyie mnasubiria bei hapa JF. Karibuni sana
  7. M

    Ndege aina ya Kware: Kwa mahitaji ya mayai ya Kware, Vifaranga na Kware kwa ajili ya nyama n.k

    Sasa hivyo umevitaja kwanin? KUna watu umeona wanawapatia?
  8. M

    Shamba Linauzwa Vianzi, Vikindu

    Ni-PM au piga +255 765800160. Chinga; kwa sasa miundo mbinu imerekebishwa na inaendelea kuimarika sana. Wont be long before it is part of DSM city
  9. M

    Shamba Linauzwa Vianzi, Vikindu

    Wajameni, Nina heka 20 za shamba maeneo ya Vianzi karibu na Vikindu, Kisarawe Pwani. Ni moja ya maeneo yanaokua na kuendelezwa kwa kasi sana. Katika hizo nina mpango wa kuuza heka tano. Kama uko interested tafadhali nipigie number ifuatayo: 0765800160. Au ni-PM.
Back
Top Bottom