Recent content by Makunduchi

  1. M

    Rais Magufuli, Ni kigezo gani kilitumika kurudi kwa Muhongo kwenye uwaziri?

    Utapandaje huo umeme wakati tuna Gas? Au hiyo Kinyerezi ni ya nani???
  2. M

    Rais Magufuli, Ni kigezo gani kilitumika kurudi kwa Muhongo kwenye uwaziri?

    Acha hizo unafahamu IPTL ni ya nani??
  3. M

    Kupotea kwa Ben Saanane: Hoja za wananchi, kinachoendelea na maoni ya Waziri Mwigulu

    Mheshimiwa Waziri hapa sijakuelewa vizuri. Unasema hakuna chama cha siasa kina Thamani ya damu ya Mtanzania. Hapa unamaanisha nini mkuu? Kwamba Ktk vyama kuna kutoana kafara au kuuwana?? Asante mkuu.
  4. M

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Ukiona hivo wanapiga kelele fahamu wamekubali the blues ndio bingwa............
  5. M

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Ntuzu Kiongozi umesema ukweli kabisa. Chelsea ndio habari ya mjini kwa sasa. Ktk michezo 8 iliyobaki Chelsea akipoteza ata mmoja tu tena ktk hii ya mwanzo sio hiyo ya mwishoni tutaona namna huu Uzi wetu utakavyo vamiwa na hawa wapinzani wetu! Kwa kawaida ya habari Mbwa akimuuma mtu, hiyo sio...
  6. M

    Sheikh Mohamed Said heko wewe ni gwiji la historia Sasa mambo yanajitokeza hadharani!

    Khe Khe Khe Khe Umeongeza tena maneno? Huna lolote weye Rafiki Yangu!
  7. M

    Sheikh Mohamed Said heko wewe ni gwiji la historia Sasa mambo yanajitokeza hadharani!

    Khe Khe Khe Khe Lissu mkombozi wenu! Nyie mnaufya kisema Jusa!
  8. M

    Sheikh Mohamed Said heko wewe ni gwiji la historia Sasa mambo yanajitokeza hadharani!

    Wakifika Huku wanaufyata! Leo hii Cdm na Tundu Lissu wamekua ndio wakombozi Wa Z'bar
  9. M

    Sheikh Mohamed Said heko wewe ni gwiji la historia Sasa mambo yanajitokeza hadharani!

    Hamna majibu ya busara nyie Zaidi ya lugha mbovu tu!
  10. M

    Sheikh Mohamed Said heko wewe ni gwiji la historia Sasa mambo yanajitokeza hadharani!

    Punguani Wewe mwenyewe! Mnatetea unafiki na ufitini!
  11. M

    Sheikh Mohamed Said heko wewe ni gwiji la historia Sasa mambo yanajitokeza hadharani!

    Mkuu Nguruvi3 hapa hakuna la Maana! Huyo anaetetewa na Hawa wateteaji Hawa lolote! Wangekua wanajadili Huku hisia zao za udini zikiwa kando Nafikiri Karibu Watu wengi wangejumuika nasi! Lakini Watu wameogopa kutokana na Hawa wanaojiita wana madrasa kutoa lugha zao mbaya!
  12. M

    Sheikh Mohamed Said heko wewe ni gwiji la historia Sasa mambo yanajitokeza hadharani!

    Ni vema kumuita aje awatulize! Kwani nyie hapa mnamtetea nani Kama sio huyo Mzee Ms? Namna mnavyomtetea kwa lugha chafu ndio ustaraabu Wa madrasa huo? Na Kwanini Mzee Ms asije kuweka Hali ya mjadala ukawa Wa lugha nzuri Kama kweli mnapenda ustaraabu? Kwa jinsi mnavyotoa lugha mbovu ni kwamba mna...
Back
Top Bottom