CCM tuwe macho na hili la nne tunapowapokea kama wanakuja ndani wapinzani nje CCM, wakisubiri uchaguzi warudi katika nafasi zao wamevalia rasmi, tutakwisha.
Mh. Polepole niko na wewe na usiogope mtu au Askofu fulani. Enda zaidi usiandikie mate na wino unao maana baadhi yetu hatukuwasikia wakisema na pengine tunayosoma ni ya watu wanavyotaka tuwaelewe Maaskofu wamesema nini. Toa matamko yao makubwa matatu na sema haya ni itikadi ya chama fulani au...
Kuhusu misaada, ikibidi sisi bara tusihusike na kunyimwa misaada kwa sababu sisi hatukupiga kura Zanzibar. Walipiga wenyewe, wabebe mzigo wao wenyewe. Jamani sioni sababu ya kuumia kimzahamzaha kwa mambo ambayo hatukushirikishwa. Tulifikiri ni ya Zanzibar kumbe ni ya Tanzanai, how?. Hata hivyo...
Yahusu sababu za mwelekeo wa Tanzania kukosa misaada ya MCC:
Je nchi yaani Tanzania ingepiga kura kwa uhuru ni nini mtazamo kuhusu Zanzibar? Wazanzibari wote wangepiga kura kwa uhuru (bila CUF kuzuia wengine) ni nini mtazamo kuhusu Zanzibar? Hivi tuna wasiwasi na Wazanzibari wenzetu? Nionavyo...
Ni kuhusu kutoonekana wazi saini katika vitambulisho (ID):
Kwangu mimi ili mradi saini ziko ndani ya ID sioni ni katika hali ipi tutakwama kwa sababu ya kukosa saini ya kuonekana wakati picha ipo, namba ya ID ipo (yenye taarifa nyingi umri, unapoishi, ..) na zaidi tunajua penye matumizi mabaya...
Tusi-personalize saana vitu hivi kukaribisha mashambulizi wakati tunajua kazi ya inafanywa kwa ushirikiano na wananchi kutumia hela ya walipa kodi wote.
Sheria hii isiyo na mipaka inayoeleweka imepoteza lengo zuri lililokusudiwa na pia limepoteza lengo la sheria yoyote nzuri. To every good law there is an exception. Ukiondoa kesi za madai na fidia, lengo kuu la adhabu katika sheria ni kwanza kumfanya mkosefu asirudie kosa na kwa mfano wa adhabu...
Hakuna mwaka laini kwa Lowasa kuwa Rais na hivyo hivyo hakuna mwaka laini kwa UKAWA kuchukua nchi kama mwaka huu. Kumekuwa na changamoto ya kuigawa na kuifelisha UKAWA Vigezo vinazaliwa kila siku; kipya kikiwa na madhara zaidi ya kilichopita kugawa UKAWA. Bw. Ogopa ccm na kadri UKAWA inavyo...
Swala Sio ushindi tu, ni ufanye nini baada ya ushindi. Kinachodidimiza nchi hii ni UFISADI. Ufisadi hauwezi kuondolewa na mtu kwenye harufu ya kifisadi au anayekuja kwa nguvu za kifisadi. Kitu ushindi tu sio jibu la tunachotaka. Lowasa anachojua na KUAMINI ni Sera za CCM na ni mkereketwa wa Sera...
Jamani msipoteze mda zaidi. NCCR na CUF ongea na kijana Zitto undeni UKAWA HALISI kesho tangaza moja wenu awawakilishe UKAWA basi mumemaliza kazi na mtastahili kura nyingi sana na ushindi wa kishindo. Baada ya kusema haya ninaanza kuwapima.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.