Habari ndugu zangu, naombeni msaada wa maoni na ushauri, eti utaratibu wa MAOMBI ya kiroho kama huduma ya matibabu unagharimu kiasi gani Cha fedha. Na je malipo Huwa ni kabla au baada ya huduma.
Natanguliza Shukran
Habari ndugu zangu wanajamii forum,
Nimekuja huku kuomba kujengewa uwezo na wataalam wetu mliopo katika jukwaa hili la Sheria.
Mwaka juzi nilikuja na post yangu kuomba msaada baada ya kufukuzwa kazi serikalini Kwa zengwe la kutengenezwa.
Ninashukuru Kwa yote, mambo yalienda sawa nikaja...
Natafuta mabint wazuri wa kuunza baa.
Wawe na sifa ziguatazo;
1. Mchangamfu.
2. Awe mnywaji.
3. Awe tayari kuishi Songea (Ruvuma)
4. Awe tayari Kufanya kazi kwa kujisimamia kwa mkataba maalumu kadri ya makubaliano yatakayofikiwa
5. Awe na barua ya utambulisho.
6. Awe na barua au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.