Recent content by Makorokoro Bondeni

  1. Makorokoro Bondeni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Imamu akamatwa kwa kuwadunga visu watu wawili katika mzozo wa uongozi wa msikiti wa Njiru

    Piga ua watakuwa na asili ya kisomali
  2. Makorokoro Bondeni

    JamiiForums Tanzania Nauza iriki (cardamon)

    Kazi nzuri@kizeze
  3. Makorokoro Bondeni

    JamiiForums Tanzania House For Sale in Kigamboni Kibada

    Majani yanaonekana yanapata huduma nzuri
  4. Makorokoro Bondeni

    JamiiForums Tanzania Trump Atoa Msamaha wa Ushuru kwa Simu, Kompyuta na Vifaa vya Kielektroniki

    Trump ni muhuni fulani anayeiongoza nchi kwa mtazamo wake bila kuwahusisha wataalam,jinga sana zee lile!
  5. Makorokoro Bondeni

    JamiiForums Tanzania Kuoga na kuvaa

    Kwa maelezo yako umekosea kutoorodhesha vifaa vya kazi,hapo najuwa hukosi dodoki,jiwe la kusugulia miguu,na shampoo hata kama una kipara.Sema mali sana kuwa msafi,hongera mkuu.
  6. Makorokoro Bondeni

    JamiiForums Tanzania Kipigo kwa Iran kikifika Israel itashirikishwa- Donald Trump

    Huo ndiyo ukweli Mkuu,sema watu mapenzi yamewazidi hawataki kuamini.
  7. Makorokoro Bondeni

    JamiiForums Tanzania Kipigo kwa Iran kikifika Israel itashirikishwa- Donald Trump

    Hakuna uharo hapo,hiyo ndiyo hali halisi.
  8. Makorokoro Bondeni

    JamiiForums Tanzania Kipigo kwa Iran kikifika Israel itashirikishwa- Donald Trump

    Kaugane ndiyo wapi?Jifunze kuandika kwanza.
  9. Makorokoro Bondeni

    JamiiForums Tanzania Kipigo kwa Iran kikifika Israel itashirikishwa- Donald Trump

    Hoja ni kuwa Marekani hajawahi ingia vitani peke yake akashinda vita
  10. Makorokoro Bondeni

    JamiiForums Tanzania Kipigo kwa Iran kikifika Israel itashirikishwa- Donald Trump

    Alienda peke yake,je alishinda vita?
  11. Makorokoro Bondeni

    JamiiForums Tanzania Kipigo kwa Iran kikifika Israel itashirikishwa- Donald Trump

    Wewe ndiyo uache ujinga wako,kwanini hutaki kuamini kama marekani hawezi pigana bila usaidizi?Wewe ndiyo unabwabwaja ovyo ndiyo maana kinywa chako kiko wazi.
  12. Makorokoro Bondeni

    JamiiForums Tanzania The government of Tanzania charges the chairman of the main opposition party, Tundu Lissu, with treason in court

    Kweli kimombo ni tatizo,ingekuwa uzi huu umeletwa kwa lugha yetu ya kiswahili watu wangekuja kwa mbwembwe nyingi tu na kujifanya wachambuzi.
  13. Makorokoro Bondeni

    JamiiForums Tanzania Kipigo kwa Iran kikifika Israel itashirikishwa- Donald Trump

    Huko vietnam alikoenda peke yake alishinda au alikimbia na chupi mkononi?
Back
Top Bottom