Habari zenu wakuu..nipo mwanza,nna laki mbili na nusu nataka kuanzisha biashara ya kuuza t shirt za manga zenye ku printiwa log tofauti,,wenye uzoefu na hii kazi ushauri wenu plz..
Pengne unachokisema ni sahihi kwa kufikilia kwako,lakin ili nchi hii iendlee lazm watu wa type yako ya kushabikia siasa bila kufikilia maendleo hakuna kitu mtafanya,.
Mmarekani co mtu mzur,anajikuta kuwasaidia watu weusi ila kuna kitu anataka...
Alienda kwa Gaddafi akawachukua watu kwenda kuwasomesha,ila lengo lake halikuwa hilo,lengo ni kumpindua Gaddafi, so usishtuke na marekani.huyu ni kam mbwa mwitu mwenye sura ya kondoo..nnamashaka na tundu lisu na hao...
Ifike mahali watanzania tuwe na ufikili mkubwa,wengi wanasema JPM dikteta lakin mnasahau kuwa hata kwa Gaddafi watu walilalamika kama sisi leo tunavyolalamika ila sas wanakiona cha moto.sas na sisi tu subili tujionee hya tunayoyasema sas tuje kuyajutia baadae..
Hata Huyo lissu bado hafai,kung'ang'ana na ya wengine wakati singida taabu tupu.huyu hatufai hata kidogo.coz hata akiwa rais atakuwa anafuatilia ya afrika mashariki ya Tanzania atayasau..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.