Recent content by makokomakoko1000

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania leads Kenya in the list of dollar millionaires

    Good Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, ukitoa ushauri unatakaje tena taarifa?

    Wewe hakuna alielazimishwa.mimi nimemsikia akisema anae ona yuko radhi kuomba msamaha,nakama yuko tayari kurudisha alicho pora aombe radhi asamehewe. Kama huyo mtu wako hayuko tayari mwache apambane na hali yake.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mambo ya nyakati....

    Halafu mkia gani huo mwisho hauna manyoya
  4. M

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Singida Mashariki laweza kupata maendeleo kuliko wakati wowote

    Kwa tundu lisu msaliti wa Taifa no:1 ni sawa tu kumnyima ushirikiano
  5. M

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Singida Mashariki laweza kupata maendeleo kuliko wakati wowote

    Raia au msaliti wa Taifa no:1
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nchi imesimama, hali ya maisha ni mbaya sana

    Nani asie daiwa ,hayo ni mambo ya biashara tu. We we unapanic nini . Usifikiri hawakujua kuwa tunadaiwa south,sasa hivi tunawapa vijisent vyao tunasonga mbele.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Zitto: Makubaliano ya Serikali na Barrick Gold changa la macho

    Zito huo no ujinga kwani kama unge yasema hayo kabla ya hili sekeseke kufika note huku ungepata hasara gani.? Sasa unaongea sahizi tuta kusaidiaje? Auwewe unafurahi tukikosea we we ukosoe uonekane Wa maana sisi tupate hasara tuwe tayari tumeliwa!.nimekudharau kuanzia Leo!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya amkaanga Mbowe TRA

    Ndio ,akipigwa na penalty zitafika tu.du safi sana
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya amkaanga Mbowe TRA

    AAA anatafuta kodi Dada kodiii tu!!
Back
Top Bottom