Baada ya kushuhudia vitimbwi vya upinzani, tuutumie Uchaguzi wa serikali za mitaa kutafakari nia na dhumuni la upinzani .

KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2019
Messages
1,292
Points
2,000

KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2019
1,292 2,000
Baada ya uchaguzi mkuu wa 2015 uliomfanya Rais Magufuli kuwa Rais wa JMT, katika anga la siasa za Tanzania kulizuka jinamizi upande wa vyama vya upinzani la kupinga, kubeza na kulaumu kila kitu. Ukweli ni kwamba jinamizi hilo lilikuwepo tangu kuzaliwa kwa vyama hivyo lakini kwa kuwa linakua, kipindi hiki cha Rais Magufuli limekomaa sana.

Jinamizi hilo limeleta vibweka na vitimbwi kedekede katika jitihada mbalimbali za serikali yetu katika kuwaletea wananchi maendeleo na maendeleo yamekuwa yakichelewa kwa sababu yao. Inasakitisha sana kuona kuna baadhi ya watu wanapinga yale waliyokuwa wanayahubiri, Rushwa na ufisadi vimekuwa ni vitu vya kushangiliwa na kuchekewa na vyama vya upinzani, hakuna wa kuvikemea wala kuvipinga lakini wa kupinga maendeleo wapo wengi. Kwa nini upinzani umegeuka mzigo badala ya tegemeo la wananchi?

Vijana ambao jana tulipokuwa watoto tulisema ni taifa la kesho, wamejikita katika upotoshaji wenye nia na dhumuni ovu, Wanahubiri uongo majukwani, magazetini na mitandaoni ili kuendeleza vitimbwi na vibweka vyao. Siasa za vitimbwi za upinzani zimefanya vijana kujiona katika mizania sawa na wanazuoni na wazee katika kutafakari na kufikiri mambo kwa kina, busara na hekima. Unakuta kuna kijana wa miaka 22-25 ambaye kasomea uongozi wa umma au sayansi lakini kwa kujikweza anajiweka katika mizania sawa na profesa wa sheria katika masuala ya kisheria, hayo ni matokeo ya siasa za upinzani kuharibu kizazi hiki cha vijana.

Miezi miwili baadaye tutashiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa ambao vijana kama hawa watashiriki katika uchaguzi kwa dhumuni la kuchaguliwa ili kuendeleleza uharibu Zaidi. Taifa letu tunalipenda na tunapenda kuona hatima njema ya taifa letu bila kujali nani kachaguliwa kwenye nini na katokea chama kipi lakini kwa muelekeo na vitimbwi vya upinzani huu lazima tuseme hautufai. Gharama ya kukosea kuchagua ni miaka 5 ya vitimbwi, vibweka, maumivu, mateso na kukosa maendeleo

Vijana ni tegemeo la leo na kesho katika taifa lolote na hatima ya taifa lolote ni maamuzi ya vijana hivyo sisi vijana tuutumie uchaguzi wa serikali za mitaa tukitafakari nia na dhumuni la upinzani na mwisho wa kutafakari tuukatae upinzani wa namna kama njia ya kupiga hatua na kusonga mbele Zaidi.
 
Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
11,794
Points
2,000

Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
11,794 2,000

Wapinzani mmewazuia kufanya shughuli zao za kikatiba. Hofu yenu nini ?!. Wapinzani hata vikao vya ndani mapolisi na wao. Kikubwa hakuna fair ground kwa ajili ya siasa. Endeleeni.

Zanzibar mlifanya figisu na hila mkabaki wenyewe. Kuna paradiso gani Zanzibar ?!.
 
Kididimo

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Messages
2,897
Points
2,000

Kididimo

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2016
2,897 2,000
Baada ya uchaguzi mkuu wa 2015 uliomfanya Rais Magufuli kuwa Rais wa JMT, katika anga la siasa za Tanzania kulizuka jinamizi upande wa vyama vya upinzani la kupinga, kubeza na kulaumu kila kitu. Ukweli ni kwamba jinamizi hilo lilikuwepo tangu kuzaliwa kwa vyama hivyo lakini kwa kuwa linakua, kipindi hiki cha Rais Magufuli limekomaa sana.

Jinamizi hilo limeleta vibweka na vitimbwi kedekede katika jitihada mbalimbali za serikali yetu katika kuwaletea wananchi maendeleo na maendeleo yamekuwa yakichelewa kwa sababu yao. Inasakitisha sana kuona kuna baadhi ya watu wanapinga yale waliyokuwa wanayahubiri, Rushwa na ufisadi vimekuwa ni vitu vya kushangiliwa na kuchekewa na vyama vya upinzani, hakuna wa kuvikemea wala kuvipinga lakini wa kupinga maendeleo wapo wengi. Kwa nini upinzani umegeuka mzigo badala ya tegemeo la wananchi?

Vijana ambao jana tulipokuwa watoto tulisema ni taifa la kesho, wamejikita katika upotoshaji wenye nia na dhumuni ovu, Wanahubiri uongo majukwani, magazetini na mitandaoni ili kuendeleza vitimbwi na vibweka vyao. Siasa za vitimbwi za upinzani zimefanya vijana kujiona katika mizania sawa na wanazuoni na wazee katika kutafakari na kufikiri mambo kwa kina, busara na hekima. Unakuta kuna kijana wa miaka 22-25 ambaye kasomea uongozi wa umma au sayansi lakini kwa kujikweza anajiweka katika mizania sawa na profesa wa sheria katika masuala ya kisheria, hayo ni matokeo ya siasa za upinzani kuharibu kizazi hiki cha vijana.

Miezi miwili baadaye tutashiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa ambao vijana kama hawa watashiriki katika uchaguzi kwa dhumuni la kuchaguliwa ili kuendeleleza uharibu Zaidi. Taifa letu tunalipenda na tunapenda kuona hatima njema ya taifa letu bila kujali nani kachaguliwa kwenye nini na katokea chama kipi lakini kwa muelekeo na vitimbwi vya upinzani huu lazima tuseme hautufai. Gharama ya kukosea kuchagua ni miaka 5 ya vitimbwi, vibweka, maumivu, mateso na kukosa maendeleo

Vijana ni tegemeo la leo na kesho katika taifa lolote na hatima ya taifa lolote ni maamuzi ya vijana hivyo sisi vijana tuutumie uchaguzi wa serikali za mitaa tukitafakari nia na dhumuni la upinzani na mwisho wa kutafakari tuukatae upinzani wa namna kama njia ya kupiga hatua na kusonga mbele Zaidi.
Mkuu, fanya utafiti wa kutosha kabla hujaridhika na baadhi ya mambo.
Mfano: Mfalme akituhumu mwizi, inabidi wa chini waseme ndiyo au hapana kulingana na wanavyomjua mfalme. Kuwa, alishasema hapendi kupingwa au kupangiwa,anajua vyote, na atakayepinga ole wake.!!
Mimi nilidhani, kama Taifa ni moja, na wewe unasema agenda za wale ndizo za hawa, kwa nini wasiwe wamoja kama alivyopendekeza Mzee Warioba?
Kenya ni mfano mzuri. Odinga na Kenyata walibezana kuliko hata hawa wa kwetu hapa, lakini yameisha,wote wanajenga nchi. Odinga anatumwa hadi nje ya nchi kutafutia Wakenya shibe! Tujirudi,tujenge nchi kwa pamoja.
 
Kididimo

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Messages
2,897
Points
2,000

Kididimo

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2016
2,897 2,000
Baada ya uchaguzi mkuu wa 2015 uliomfanya Rais Magufuli kuwa Rais wa JMT, katika anga la siasa za Tanzania kulizuka jinamizi upande wa vyama vya upinzani la kupinga, kubeza na kulaumu kila kitu. Ukweli ni kwamba jinamizi hilo lilikuwepo tangu kuzaliwa kwa vyama hivyo lakini kwa kuwa linakua, kipindi hiki cha Rais Magufuli limekomaa sana.

Jinamizi hilo limeleta vibweka na vitimbwi kedekede katika jitihada mbalimbali za serikali yetu katika kuwaletea wananchi maendeleo na maendeleo yamekuwa yakichelewa kwa sababu yao. Inasakitisha sana kuona kuna baadhi ya watu wanapinga yale waliyokuwa wanayahubiri, Rushwa na ufisadi vimekuwa ni vitu vya kushangiliwa na kuchekewa na vyama vya upinzani, hakuna wa kuvikemea wala kuvipinga lakini wa kupinga maendeleo wapo wengi. Kwa nini upinzani umegeuka mzigo badala ya tegemeo la wananchi?

Vijana ambao jana tulipokuwa watoto tulisema ni taifa la kesho, wamejikita katika upotoshaji wenye nia na dhumuni ovu, Wanahubiri uongo majukwani, magazetini na mitandaoni ili kuendeleza vitimbwi na vibweka vyao. Siasa za vitimbwi za upinzani zimefanya vijana kujiona katika mizania sawa na wanazuoni na wazee katika kutafakari na kufikiri mambo kwa kina, busara na hekima. Unakuta kuna kijana wa miaka 22-25 ambaye kasomea uongozi wa umma au sayansi lakini kwa kujikweza anajiweka katika mizania sawa na profesa wa sheria katika masuala ya kisheria, hayo ni matokeo ya siasa za upinzani kuharibu kizazi hiki cha vijana.

Miezi miwili baadaye tutashiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa ambao vijana kama hawa watashiriki katika uchaguzi kwa dhumuni la kuchaguliwa ili kuendeleleza uharibu Zaidi. Taifa letu tunalipenda na tunapenda kuona hatima njema ya taifa letu bila kujali nani kachaguliwa kwenye nini na katokea chama kipi lakini kwa muelekeo na vitimbwi vya upinzani huu lazima tuseme hautufai. Gharama ya kukosea kuchagua ni miaka 5 ya vitimbwi, vibweka, maumivu, mateso na kukosa maendeleo

Vijana ni tegemeo la leo na kesho katika taifa lolote na hatima ya taifa lolote ni maamuzi ya vijana hivyo sisi vijana tuutumie uchaguzi wa serikali za mitaa tukitafakari nia na dhumuni la upinzani na mwisho wa kutafakari tuukatae upinzani wa namna kama njia ya kupiga hatua na kusonga mbele Zaidi.
Kumbuka "Upinzani haugandi" . Siku utaitwa mpinzani,uliyopanda leo yatakukuta na utakosa hoja. Katiba yetu inarhusu,hivyo tuitii.
 
TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Messages
15,005
Points
2,000

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2010
15,005 2,000
Hofu yenu nini ?!
Wapinzani gani hawa...!!! Wapinzani gani wanataka wananchi waendelee kuishi kimasikini kwa kutaka miradi ya maendeleo isimame....wapinzani gani wanataka watanzania tuendelee kuwa 'ombaomba', wapinzani gani hawa eeh ! Wapinzani wanataka nchi ifilisiwe...wana umuhimu kweli kwa maendeleo ya watanzania kiasi cha kupewa 'platform kubwa ya kitaifa' kuzungumza na wananchi...!? Watumie platform hizo walizopewa kitaratibu kufanya shughuli zao na wajitafakari kwanza kama wako tayari kuwatumikia na kuwasaidia watanzania kwa nia na mienendo waliyonayo sasa.
 
elvischirwa

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Messages
5,980
Points
2,000

elvischirwa

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2013
5,980 2,000

[/QUOTKu
Uchaguzi Serikali za Mitaa utasimamiwa na CCM kwani Tume ya Uchaguzi na Daftari la Mpigakura haviruhusiwi kutumika.
Swali, tusio wanaccm tu na sababu ya kushiriki uchaguzi huo? Na vyama vinginevyo vinasababu gani kushiriki?
 
Kifoi

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2007
Messages
1,047
Points
1,500

Kifoi

JF-Expert Member
Joined May 12, 2007
1,047 1,500
Baada ya uchaguzi mkuu wa 2015 uliomfanya Rais Magufuli kuwa Rais wa JMT, katika anga la siasa za Tanzania kulizuka jinamizi upande wa vyama vya upinzani la kupinga, kubeza na kulaumu kila kitu. Ukweli ni kwamba jinamizi hilo lilikuwepo tangu kuzaliwa kwa vyama hivyo lakini kwa kuwa linakua, kipindi hiki cha Rais Magufuli limekomaa sana.

Jinamizi hilo limeleta vibweka na vitimbwi kedekede katika jitihada mbalimbali za serikali yetu katika kuwaletea wananchi maendeleo na maendeleo yamekuwa yakichelewa kwa sababu yao. Inasakitisha sana kuona kuna baadhi ya watu wanapinga yale waliyokuwa wanayahubiri, Rushwa na ufisadi vimekuwa ni vitu vya kushangiliwa na kuchekewa na vyama vya upinzani, hakuna wa kuvikemea wala kuvipinga lakini wa kupinga maendeleo wapo wengi. Kwa nini upinzani umegeuka mzigo badala ya tegemeo la wananchi?

Vijana ambao jana tulipokuwa watoto tulisema ni taifa la kesho, wamejikita katika upotoshaji wenye nia na dhumuni ovu, Wanahubiri uongo majukwani, magazetini na mitandaoni ili kuendeleza vitimbwi na vibweka vyao. Siasa za vitimbwi za upinzani zimefanya vijana kujiona katika mizania sawa na wanazuoni na wazee katika kutafakari na kufikiri mambo kwa kina, busara na hekima. Unakuta kuna kijana wa miaka 22-25 ambaye kasomea uongozi wa umma au sayansi lakini kwa kujikweza anajiweka katika mizania sawa na profesa wa sheria katika masuala ya kisheria, hayo ni matokeo ya siasa za upinzani kuharibu kizazi hiki cha vijana.

Miezi miwili baadaye tutashiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa ambao vijana kama hawa watashiriki katika uchaguzi kwa dhumuni la kuchaguliwa ili kuendeleleza uharibu Zaidi. Taifa letu tunalipenda na tunapenda kuona hatima njema ya taifa letu bila kujali nani kachaguliwa kwenye nini na katokea chama kipi lakini kwa muelekeo na vitimbwi vya upinzani huu lazima tuseme hautufai. Gharama ya kukosea kuchagua ni miaka 5 ya vitimbwi, vibweka, maumivu, mateso na kukosa maendeleo

Vijana ni tegemeo la leo na kesho katika taifa lolote na hatima ya taifa lolote ni maamuzi ya vijana hivyo sisi vijana tuutumie uchaguzi wa serikali za mitaa tukitafakari nia na dhumuni la upinzani na mwisho wa kutafakari tuukatae upinzani wa namna kama njia ya kupiga hatua na kusonga mbele Zaidi.
mzee umelewa gongo au mbege hivi kwa akili yako ya bangi CCM washatawala nchi hii kwa miaka mingapi halafu kwa akili yako ya cocaine hivi nchi hii kitu gani imekosa ambacho hakipatikani hapa TZ. nchi iliyosheheni utajiri usioweza kumalizika mpaka kiama lakini bado unaomba dona kutoka marekani chini ya utawala huu wa ccm.
 
Kididimo

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Messages
2,897
Points
2,000

Kididimo

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2016
2,897 2,000
kuitwa mpinzani hakutanifanya niwe napinga kila kitu kwa maslahi yangu binafsi na kuacha maslahi ya taifa rehani
Tuko pamoja. Maneno ya kisiasa hasa za kiafrica yako vile. Kuna Mzee mmoja wakati wa kampeni alitusiwa vibaya kuwa anajinyea!!! Aliyemtusi ni kijana mdogo umri wa watoto wake! Leo hii, alivyogeuza mwelekeo, wako naye,wanaheshimiana, wanakula pamoja bila kuhisi harufu mbaya!
Actually, upinzani vs utawala ni jambo la kawaida kuona hayo!
Kubwa zaidi, ni katiba iliyo imara iliyokubalika na kutekelezwa kwa haki na pande zote.
 
areafiftyone

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2017
Messages
6,790
Points
2,000

areafiftyone

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2017
6,790 2,000
Baada ya uchaguzi mkuu wa 2015 uliomfanya Rais Magufuli kuwa Rais wa JMT, katika anga la siasa za Tanzania kulizuka jinamizi upande wa vyama vya upinzani la kupinga, kubeza na kulaumu kila kitu. Ukweli ni kwamba jinamizi hilo lilikuwepo tangu kuzaliwa kwa vyama hivyo lakini kwa kuwa linakua, kipindi hiki cha Rais Magufuli limekomaa sana.

Jinamizi hilo limeleta vibweka na vitimbwi kedekede katika jitihada mbalimbali za serikali yetu katika kuwaletea wananchi maendeleo na maendeleo yamekuwa yakichelewa kwa sababu yao. Inasakitisha sana kuona kuna baadhi ya watu wanapinga yale waliyokuwa wanayahubiri, Rushwa na ufisadi vimekuwa ni vitu vya kushangiliwa na kuchekewa na vyama vya upinzani, hakuna wa kuvikemea wala kuvipinga lakini wa kupinga maendeleo wapo wengi. Kwa nini upinzani umegeuka mzigo badala ya tegemeo la wananchi?

Vijana ambao jana tulipokuwa watoto tulisema ni taifa la kesho, wamejikita katika upotoshaji wenye nia na dhumuni ovu, Wanahubiri uongo majukwani, magazetini na mitandaoni ili kuendeleza vitimbwi na vibweka vyao. Siasa za vitimbwi za upinzani zimefanya vijana kujiona katika mizania sawa na wanazuoni na wazee katika kutafakari na kufikiri mambo kwa kina, busara na hekima. Unakuta kuna kijana wa miaka 22-25 ambaye kasomea uongozi wa umma au sayansi lakini kwa kujikweza anajiweka katika mizania sawa na profesa wa sheria katika masuala ya kisheria, hayo ni matokeo ya siasa za upinzani kuharibu kizazi hiki cha vijana.

Miezi miwili baadaye tutashiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa ambao vijana kama hawa watashiriki katika uchaguzi kwa dhumuni la kuchaguliwa ili kuendeleleza uharibu Zaidi. Taifa letu tunalipenda na tunapenda kuona hatima njema ya taifa letu bila kujali nani kachaguliwa kwenye nini na katokea chama kipi lakini kwa muelekeo na vitimbwi vya upinzani huu lazima tuseme hautufai. Gharama ya kukosea kuchagua ni miaka 5 ya vitimbwi, vibweka, maumivu, mateso na kukosa maendeleo

Vijana ni tegemeo la leo na kesho katika taifa lolote na hatima ya taifa lolote ni maamuzi ya vijana hivyo sisi vijana tuutumie uchaguzi wa serikali za mitaa tukitafakari nia na dhumuni la upinzani na mwisho wa kutafakari tuukatae upinzani wa namna kama njia ya kupiga hatua na kusonga mbele Zaidi.
Sioni upinzani wa kuliongoza taifa letu kwa sasa.Upinzani hauna nia dhabiti ya kuwatumikia Watanzania hata kidogo,nia yao ni kuwaibia Watanzania na kushirikiana na mabeberu kuwafukarisha.Kila mbinu itumike ili kuwazuia wasipate dhamana ya kuiongoza nchi yetu.

Kuhusu vijana sidhani kama ni taifa la kesho kweli.Kipindi cha Magufuli na hasa kipindi hiki kifupi cha ndege yetu kukamatwa kule SA,kimetuthihirishia wazi wao ni nani.Mawazo yao na vitendo vyao vimewavua nguo,wako uchi.Hawana uzalendo kabisa,ni wachumia tumbo na vibaraka wa nchi za magharibi.Kwa sababu hiyo hawafai kabisa kupewa dhamana ya kuliongoza taifa letu pia.
 
Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
11,794
Points
2,000

Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
11,794 2,000
Wapinzani gani hawa...!!! Wapinzani gani wanataka wananchi waendelee kuishi kimasikini kwa kutaka miradi ya maendeleo isimame....wapinzani gani wanataka watanzania tuendelee kuwa 'ombaomba', wapinzani gani hawa eeh ! Wapinzani wanataka nchi ifilisiwe...wana umuhimu kweli kwa maendeleo ya watanzania kiasi cha kupewa 'platform kubwa ya kitaifa' kuzungumza na wananchi...!? Watumie platform hizo walizopewa kitaratibu kufanya shughuli zao na wajitafakari kwanza kama wako tayari kuwatumikia na kuwasaidia watanzania kwa nia na mienendo waliyonayo sasa.
Umenijibu kwa hasira lakini huna hoja masikini . Wapinzani hawajawahi kuomba nchi iwekewe vikwazo, bali viongozi madictator. Wapinzani hawakuwahi kukataa miradi bali wametaka taratibu za manunuzi kiserikali zifuatwe ikiwemo kutenga budget husika.

Unasema platform ipi hiyo ?!. Ya ccm kufanya chochote wanachotaka. Wakati huo wapinzani wao hawaruhusiwi hata kutembelea majimbo na halmashauri wanazoongoza !!. Totally nonsense
 
TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Messages
15,005
Points
2,000

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2010
15,005 2,000
Wapinzani hawajawahi kuomba nchi iwekewe vikwazo
Unasahau kesi inayomkabili 'mgonjwa', Lissu?
“Anadaiwa kusema kila mmoja ……tukawaambie wale ambao bado wanampa msaada wa pesa Magufuli na Serikali yake kama tulivyowaambia wakati wa Serilkali ya Makaburu.
“Anadaiwa kusema hii Serikali isusiwe na Jumuiya ya Kimataifa,isusiwe kisiasa, kiuchumi na kidiplomasia kwa sababu ya utawala huu wa kibaguzi…..yeye ni dikteta uchwara,” alidai Kishenyi kwamba maneno hayo alitamka Lissu na kwamba yalikuwa na lengo la kuleta chuki.

Totally nonsense
You are happy, uh!?
 
Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
11,794
Points
2,000

Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
11,794 2,000
Unasahau kesi inayomkabili 'mgonjwa', Lissu?You are happy, uh!?
Shida ninayoona kwako na kwa watu wengi, hasa wafuasi wa watawala ni
1. Kushindwa kutofautisha nchi na viongozi
2. Ni kuwahunumu wengine kwa makosa ya wengine

Nchi hii imeongozwa na Tanu/ccm kwa karibu miaka 60 na bado tumetopea kwenye lindi la umasikini . Kiasi leo viongozi wetu wanamsaka mchawi miongoni mwa wapinzani !!.

Wakati wanasaini mikataba ya kitumwa na wawekezaji . Walionywa na wakawa makaidi Leo utafute mchawi kweli ?!. Tatizo ni la uongozi hasa chini ya ccm . Usitegememee miujiza
 
August

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2007
Messages
5,289
Points
2,000

August

JF-Expert Member
Joined Jun 18, 2007
5,289 2,000
Baada ya uchaguzi mkuu wa 2015 uliomfanya Rais Magufuli kuwa Rais wa JMT, katika anga la siasa za Tanzania kulizuka jinamizi upande wa vyama vya upinzani la kupinga, kubeza na kulaumu kila kitu. Ukweli ni kwamba jinamizi hilo lilikuwepo tangu kuzaliwa kwa vyama hivyo lakini kwa kuwa linakua, kipindi hiki cha Rais Magufuli limekomaa sana.

Jinamizi hilo limeleta vibweka na vitimbwi kedekede katika jitihada mbalimbali za serikali yetu katika kuwaletea wananchi maendeleo na maendeleo yamekuwa yakichelewa kwa sababu yao. Inasakitisha sana kuona kuna baadhi ya watu wanapinga yale waliyokuwa wanayahubiri, Rushwa na ufisadi vimekuwa ni vitu vya kushangiliwa na kuchekewa na vyama vya upinzani, hakuna wa kuvikemea wala kuvipinga lakini wa kupinga maendeleo wapo wengi. Kwa nini upinzani umegeuka mzigo badala ya tegemeo la wananchi?

Vijana ambao jana tulipokuwa watoto tulisema ni taifa la kesho, wamejikita katika upotoshaji wenye nia na dhumuni ovu, Wanahubiri uongo majukwani, magazetini na mitandaoni ili kuendeleza vitimbwi na vibweka vyao. Siasa za vitimbwi za upinzani zimefanya vijana kujiona katika mizania sawa na wanazuoni na wazee katika kutafakari na kufikiri mambo kwa kina, busara na hekima. Unakuta kuna kijana wa miaka 22-25 ambaye kasomea uongozi wa umma au sayansi lakini kwa kujikweza anajiweka katika mizania sawa na profesa wa sheria katika masuala ya kisheria, hayo ni matokeo ya siasa za upinzani kuharibu kizazi hiki cha vijana.

Miezi miwili baadaye tutashiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa ambao vijana kama hawa watashiriki katika uchaguzi kwa dhumuni la kuchaguliwa ili kuendeleleza uharibu Zaidi. Taifa letu tunalipenda na tunapenda kuona hatima njema ya taifa letu bila kujali nani kachaguliwa kwenye nini na katokea chama kipi lakini kwa muelekeo na vitimbwi vya upinzani huu lazima tuseme hautufai. Gharama ya kukosea kuchagua ni miaka 5 ya vitimbwi, vibweka, maumivu, mateso na kukosa maendeleo

Vijana ni tegemeo la leo na kesho katika taifa lolote na hatima ya taifa lolote ni maamuzi ya vijana hivyo sisi vijana tuutumie uchaguzi wa serikali za mitaa tukitafakari nia na dhumuni la upinzani na mwisho wa kutafakari tuukatae upinzani wa namna kama njia ya kupiga hatua na kusonga mbele Zaidi.
Kikubwa nilicho kiona kwenye hivi vyama viwili "saccos " na chama cha mzalendo ni kwamba wao wapo kwa madhumuni yao binafsi na ktk kutimiza azma hiyo maslahi mapana ya wananchi haya nafasi.
Hivyo wapo tayari kuuza mali za wengi kwa faida ya wachache - kwa u fupi wapo tayari kununuliwa
 
Forum statistics

Threads 1,392,174
Members 528,565
Posts 34,100,930
Top