Recent content by Mako2011

  1. M

    Natafuta mchumba hatimaye awe mke

    Nina umri wa miaka 35, ninafanyakazi Dar es Salaam. Mchumba ninayemtafuta, - Awe na umri wa kuanzia miaka 26-32 - Awe mkristo na awe tayari kuishi sehemu yoyote Tanzania au duniani - Nina lengo la kujenga familia hivyo awe tayari kupata watoto nami Mambo mengine nitazungumza naye wakati wa...
  2. M

    Natafuta nyumba ya kupanga (3-4 bedrooms)

    Na dalali je umemuwekea ngapi?
  3. M

    Anatembea na babake!

    Kuna mzee mwingine yupo Moshi anaishi maeneo ya Rau anakula binti yake kama hana akili nzuri, na mtu akimgusa huyo binti mzee anakuwa mbogo. Mpaka sasa hivi tunavyozungumza, binti kamuacha mume wake na baba kampangishia nyumba kama nyumba ndogo yake anaendelea kubenjua naye amri ya sita na mke...
Back
Top Bottom