Tukisema kutokwa na damu wapo wengi ambao hatuwafahamu ksa hawana umaarufu. Huyo J in kahaba kama huyo Bwana wake. Hivi utamfananisha na MTU yuko kwenye ndoa yake halali na mumewe? Kweli aslim ili apate kibali. Na tatizo kubwa nahisi huyo jamaa ama alianza kula kondoo wake kanisani uzalendo...
Kutoa in hiari ya MTU. Sio ofisi zote wanaotoa huduma za matibabu labda Mimi namtibu binti anayenisaidia kazi nyumbani. Otherwise in Rehema ya mungu upate bosi akutibu. Au iwekwe sheria basi na sisi tufaidi. Maana ukishapokea ujira wako ni juu yako na matumizi yake sio habari ya nikiumwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.