Recent content by Makini25

  1. M

    Kauli ya Lowassa siyo sawa, inahamasisha vurugu

    sasa kura ziikisha hesabiwa zinatangazwa na kubandikwa. kama watu wote wako nyumbani utamtangazia nani? ??????????????
  2. M

    January Makamba awataka wananchi wawalaumu wabunge wao kuhusu kodi ya 1,000 kwa kila laini

    Hivi wabunge wanakatwa kodi kwenye mishahara yao? niliwahi kusikia hawakatwi... kama ndo hivyo basi hawawezikujua madhara ya mwananchi wa kawaida kukamuliwa kodi namna hii bila kulishwa!!!
  3. M

    Sakata la Bomu Arusha: FBI watua nchini, EU wadai Udini ni chanzo, ukomeshwe

    Nakumbuka sakata la ARV feki. Kuna watu wasiohusika walitolewa kafara wakapoteza kazi kwa uchunguzi usiomakini. acheni FBI watusaidie
  4. M

    Rais Kikwete aanza ziara rasmi ya siku mbili nchini Kuwait

    Angekufa mtoto wake asingekatisha hiyo safari kweli? I don't believe! She could have rushed back immediately.
  5. M

    Taarifa ya CCM

    Hapa naona jazba tu na ujibuji hoja ki-taarabutaarabu tu. Tamko la chama litakaaje kimipashomipasho hivi jamani! mbona CCM kuna hazina kubwa sana ya wasomi kwanini wasipewe nafasi??????? rubbish! Nachukizwa sana na haibu hizi kwa chama kongwe. kha! haya yanatoka wapi?
  6. M

    Ukweli mchungu kuhusu KINANA

    viongozi wa CHADEMA ndowaliomtuma akue tembo achafuke? Sijaelewa wamemchafuaje...
  7. M

    Kikwete huna adui ila wewe mwenyewe ndiye adui

    Sasa anayeng'oa kucha na meno ni CHADEMA au CCM? hapa munanichanganya. wengine wanasema ni CCM wewe hapa kama unamaanisha ni CHADEMA. Tuwekeeni wazi jamani. Kuna watu wametajwa kwa majina Serikalini kwamba wanhusika na ushetani huu lakini sijasikia mtu wa CHADEMA akitajwa openly kama...
  8. M

    Dr. A. Paurine: Majibu kwa Chris Lukosi na propaganda zake dhidi ya CHADEMA

    Ndo haya matatizo kazungumzia DR. A. P; Si unavyotegemea ndo jibu sahihi. huyu si mwandishi wa habari ameelezea mtazamo wake. Hayo unayosema hakutaka kuyasema sasa unalazizisha azungumze unachofikiria kichwani mwako!! Jitathmini usijekuwa na ugonjwa mojawapo hapo. au wewe ndo zile ID 10 za...
  9. M

    Dr. A. Paurine: Majibu kwa Chris Lukosi na propaganda zake dhidi ya CHADEMA

    Nashukuru sana Dr. A. Paurine kwa maelezo yako. Kuna tofauti kubwa sana kati ya LUKOSI anavyojieleza na niwezavyo kuona unavyopanga hoja. You are not in UK by chance, you deserve it. Siku nilisikitika sana niliposoma hapa post ya LUKOSI akieleza kwamba alihangaikia CHADEMA UK nikawa najiuliza...
  10. M

    KIBANDA: Kwa JK uzushi, kwa wengine kashfa!

    Akili ndogo kuongoza akili kubwa ni LAZIMA kunyamazishana kwa vipigo! maskini nchi yangu... Mungu tuangazie uso wako.
  11. M

    Denis Msaki ni nani Katika siasa za Tanzania?

    Naomba aliye na data za mabalozi wa Tanzania nje ya nchi anipe. waweza kuwa wote waislamu kwa mtindo huu.
  12. M

    Kipi chuo kikuu bora Tanzania?

    Chuo kikuu bora ni MUM kiko Tanesco pale Moroogoro stendi ya mabasi makubwa, MSAMVU, kama unaelekea Dodoma. Wafunzi kujifunika hadi uso kunaruhusiwa, ilimu ya dini imetiliwa mkazo na ina walumu wachache kupunguza overcrowding. Hakuna mgomo wala hawawaandai vinara wa migomo. Ukitaka mke/memwema...
Back
Top Bottom