usiogope majina yanatokaga kwa batch.nakueleza kama mwanachuo ambaye teyari nipo chuoni na nina mkopo,huwa kunakuwa hadi batch ya kumi so wanatoa taratibu ivo ivo
we jipe moyo tu ndugu huyo kakuambia kukufariji tu lakini ukweli ni hao hao 70 chanzo cha habari kutoka kwa baba yangu mfanya kazi mwenye cheo kikubwa uhamiaji
mimi nimemaliza bachelor of arts with education pale UDSM na form six nilipata dv 1.na 4M4 nilipata dv 2,ACHA USHAMBA NA UJINGA,HUNA HATA HAYA ETI SI MWALIMU WA SEKONDARI AU MSINGI!!BASI UNAFUNDISHA VICHAA MILEMBE,MAANA HUO NAO NI UALIMU SO AKILI YAKO IMEKUWA KAMA KICHAA KWA KUROPOKA BILA KUWA...
asante kwa jibu lako!!huyo ni mmbwa anayebweka tu,haelewi!!aende UDSM na MZUMBE! Aone watu wa education wengi wana dv ngapi??au nenda SUA,-------- kweli,na inaelekea sio educated maana educated hawezi kuongea pumba kama zake
we ni ------ tena kiazi kilichooza!!ambacho hata mawazo yako ni finyu!!unadhani walioenda ualimu wote wamefeli??wengi wana dv 1 form six na ualimu ni njia zuri ya kupita katika maisha,kwani soko la ajira ni tabu!!nna wasi wasi hata we ulioandika hii statuts 4m six ulipata dv 3,ukaenda kusoma...
kwani mngetulia Tanzania mkasomea hapa kuna shida??au mbwembwe tu!!?wenzenu wanalalamika hata hela ya chakula hawapewi na serikali maadam wapo hapa Tz,bado nyie twiherehere mliokimbilia kwenye nchi za watu mkiamini kwenye elimu bora mnalalamika!!jipange!!maana kusoma nje ya nchi sio mchezo
Wezi tu nyie kuna watumishi wamejiunga psps hadi saizi wanajuta kwanini??maana hata semina hawakupewa ya kutosha,kama karagwe mwaka jana mmeparamia tu ajira mpya watu wanajuta kwanini wasingekata LPF kama vitambulisho tu hadi saizi mmeshindwa kuwapa,washenzi tu
we ukienda unadhani utatupwa hapo mjini kwenye mazingira mazuri??we nenda utaona pori utakalotupwa ndani ndani huko ndo utajua kwa nini watu wanapaogopa!!!:o
Hapana wengi ni sisi wafanya biashara kutoka kampala to dsm,usiwasingize i wish upande ukute jinsi walivo na kauli chafu,madereva wao tu ndo wastaarabu
nikiwa kama mteja mojawapo wa mohamed trans,kwakweli mnaboa hamna lugha ya kiustaarabu kwa abiria zenu,yaani kauli nzuri ni pale unapokata tiketi tu,ukija kwa haa makonda wa kike kwenye mabasi yenu yaani ndo wana kauli chafu ndani ya basi ni matusi badala ya kumuelekeza abiria vizuri tu,mnajidai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.