Recent content by makete101

  1. M

    RASMI: Marekani Yaingia North Korea. US Aircraft Carriers Zilizofichwa Singapore Zapelekwa

    Manowari ya Marekani yaonekana Karibu na .......... na Sio Bahati ya Korea, swali la kizushi: wanaelekea wapi?
  2. M

    Diamond aachia wimbo mpya "Acha nikae kimya"

    Jambo moja kubwa ni kuwa Chibu anakili na kutambua kuwa hali ya nchi ni tete. Hofu imetanda na yeye imemkumba hivo amechagua kukaa kimya (because he is a coward).
  3. M

    Gazeti maarufu duniani, Washington Post, laichambua Tanzania

    Hao wote uliowanukuu wamekimbilia kushambulia makala bila kuangalia na kuchambua ukweli wa kile kilichoandikwa. Bila kuuma maneno mwandishi kaandika ukweli mtupu kuhusu Nchi yangu pendwa Walitakiwa kuonyesha mapungufu yalioandikwa kwenye andishi lile. Na si vinginevo.
  4. M

    Gado tena!!!!

    Hadi mitutu imewakilishwa,
  5. M

    Watumishi wa umma tumemkosea nini Rais Magufuli?

    Usitake kutuaminisha kuwa kuwa mwafrika au mtanzania ni ujinga; wewe unafaidika nini kwa watu kuwa na maisha magumu??? Ungekuwa umeenda shule ningekuelimisha kidogo, kwa sasa tafuta maana ya Domino effect na Boomerang. Maana utakayoipata inaonekana mtaani,
  6. M

    Watumishi wa umma tumemkosea nini Rais Magufuli?

    Hakika alishinda, lakini haikuwa kwa kishindo kama mwanzo, ninahisi haikuishia pale aliyefuata zikapungua zaidi ikiwa hali hii ikaendelea zaidi anaweza akashinda kwa asilimia 41(kwa kuwa ana tume na jeshi).
  7. M

    Uhalisia wa mshahara wa mwalimu baada ya makato mapya ya 15% ya Bodi ya Mikopo ya elimu ya juu

    Daah nimeamini kitanda usichokilalia hauwezi wajua kunguni wake, it is easy said than done. Umewahi kulima wewe? Unaijua unafahamu changamoto ya miundombinu hasa barabara za huko mashambani, kunasehemu nilifika na kukuta gunia la Viazi tsh 7000 kasheshe ikawa kuvitoa huko wacha vioze...
  8. M

    Watumishi wa umma tumemkosea nini Rais Magufuli?

    Ungemuuliza JK effect ya kudharau watumishi ilikuwa ni anguko la asilimia ngapi?
  9. M

    Watumishi wa umma tumemkosea nini Rais Magufuli?

    Hakika dawa ya deni ni kulipa sikatai, Tufundishe na msemo mwingine basi juu ya hili la watu kupandishwa madaraja na kuishia kumiliki barua tu kwa zaidi ya mwaka sasa
  10. M

    Watumishi wa umma tumemkosea nini Rais Magufuli?

    Kazi kweli kweli, watu hawajakataa kulipa deni ndugu, wanacholalamika ni kwamba mkataba wa kukatwa asilimia 7 au nane umevunjwa. No wonder utawala wa sheria umetupwa shimoni kila upande
  11. M

    Watumishi wa umma tumemkosea nini Rais Magufuli?

    Jambo la kustaajabisha katika hao wanyonge walimu hawamo, nani asiyejua hali ngumu ya maisha ya walimu wa nchi hii? Lakini nao pia wanasomeshwa namba kwa spidi ya ajabu, wamepandishwa madaraja lakini wameishia kumiliki barua za mishahara mipya bila mabadiliko kwenye akaunti zao na sasa ni zaidi...
  12. M

    Dar es Salaam City in Photos

  13. M

    Dar es Salaam City in Photos

  14. M

    Ni ubabe au? Bodi ya Mikopo wanakata mpaka 500,000/ kwa mwezi, watumishi ni kilio

    Tatizo lako unachangia usicho kijua, mada inahusu makato makubwa yaani kutoka asilimia 7 hadi 15 ilioanza mwezi huu, ni tofauti na jambo unaloshabikia wewe la watu kutotaka kulipa mkopo wao. Shame on you kwa kukurupukia usiyoyajua.
  15. M

    Makombora ya Iran yanafika kila kona Israel

    Iran wapo vizuri kijeshi kwa sasa. Mchangiaji mmoja anawapaisha Israel kwa kuwa na Arrow 3 ambayo range yake ni kilomita 100 tu ( Arrow 3 should be able to intercept ballistic missiles, especially those carrying weapons of mass destruction , [18] at altitudes of over 100 km (62 mi), [19] and...
Back
Top Bottom