Recent content by makesy

  1. M

    Hali ni Tete, Mabomu Yameanza Kurushwa Tena Jijini Arusha

    Naomba kuwaabia wana arusha tushikiane tuonyeshe umoja wetu tuwaonyeshe serikali na ccm yao kuwa tunaweza ili siku nyingine wasirudie. Unajua kwakujikusanya uwanjani na kuanza kushindana na polisi wenye silaha za moto mabom ya machozi na maji ya kuwasha hatuwezi kupambana nao la muhimu hapa...
  2. M

    Uchaguzi wa madiwani CCM Arusha rushwa njenje

    unajua mkewangu ni mwelewa na kila anachokifanya ananishirikisha alivyoandikwa jina aliniambia alipopigiwa cm akaambiwa kuna kikao aliniuliza niende na mimi kwakua nataka kujua wenzetu wanatumia mbinu gani nikamwambia neda ukaone wanachowaitia aliporudi si ndo kanipa sera? sasa asingepokea...
  3. M

    Uchaguzi wa madiwani CCM Arusha rushwa njenje

    Napenda kuwajulisha kuwa mgombea wa CCM kata ya themi niliemjua kwajina moja la Victer leo alikuwa anagawarushwa waziwazi katika ofisi ya CCM iliyoko maeneo ya kambini. Ameandikisha majina ya akinamama mitaani kwa kutumia wamama fulani mmoja ni muumini wa kanisa la RC na mwingine ni muumini wa...
  4. M

    Haya yanatuangusha Chadema

    haya hatujaanza kuyasema leo lakini viongozi wetu wametia pamba masikiono . Tungekuwa hata na redio ingetosha kuweka kipindi cha kuelimisha wananchi kuhusu sera za chama hata haya tunayolalamika kuwa viongozi wameshindwa kupeleka sera vijijini lisingekuwepo maana wanakijiji wangesikia sera...
  5. M

    Taarifa ya Jeshi la Polisi kukanusha taarifa ya gazeti la Jamhuri

    tunaomba mwandishi wa habari hii asiishie hapa wala asikatishwe tamaa na kauli za jeshi la polisi kwavile mtuhumiwa anajulikana mwandishi ajitahidi kuwatafuta ndugu zake au watu wa jirani na mtuhumiwa watuambie kama kweli mtuhumiwa ni mgunjwa wa akili na ilikuwaje atoke mwanza hadi bungeni?.
  6. M

    Mtwara bado ngoma mbichi...

    Hivi mtu mwenyeakili timamu unapomsikia mwenzako mwenyeakili timamu anakuambia gesi kwanza uhai baadae unamfikiriaje au mnadhani wana mtwara wamevuta bangi?
  7. M

    Mtwara bado ngoma mbichi...

    Kwasababu serikali haitaki kushauriwa walakusikia la mtu zaidi ya bomba la gesi kupelekwa tanzania basi tanzania itangaze vita na mtwara maana haka kanchi kadogo hivi hakawezi kikataa bomba lisiende tanzania
  8. M

    Ni kweli tunapambana na siasa za udini????

    Sioni kama kuna mtu, polisi,serikali, wala chama cha siasa,wala msajili wa vyama sioni mwenye nia ya dhati ya kuondoa siasa za udini katika nchi ya tanzania nasema haya kwasababu ya kitendo alichofanya lipumba juzi katika msikiti fulani hapa dar cha kwenda kuhubiri siasa msikitini na...
  9. M

    CHADEMA yagaragazwa vibaya Iramba,CCM yachukua vijiji vyote

    nadhani hauko siriaz na maneno yako unaposema hiyo ni sehemu ndogo unamaanisha nini?maana vijiji nane ni karibu ukubwa wa kata mbili na unapozungumza hivyo usisahau kuwa kitila mkumbo ambae ndie mgombea mtarajiwa anaesifiwa sana hapa jf kuwa anamkaba kisawasawa mwingulu hata pale kijijini kwake...
  10. M

    CHADEMA yagaragazwa vibaya Iramba,CCM yachukua vijiji vyote

    Niliwahi kuandika hapa jf kuhusu jinsi nisivyouona ushindi wa chama changu chadema katika chaguzi zinazokuja. Nilijaribu kuelezea sababu zinazonifanya nionyeshe wasiwasi kuwa ni viongozi wangu wa kitaifa kutopenda kwenda kufanya kazi za kuhamasisha wananchi huko vijijini na nikatoa mfano wa kata...
  11. M

    Lipumba akiri kumsaidia Kikwete Uchaguzi 2010

    Mara nyingi chadema wamekuwa wakisema CUF si chama cha upinzani tena bali ni sehemu ya CCM watu wakakataa CHADEMA wakasema CCM ilifanya kampeni za kidini watu wakakataa juzi lema kasema kikwete ndie alieanzisha siasa za udini tanzania serikali ikakataa leo mungu amempa ujasiri lipumba ameamua...
  12. M

    Mawaziri wa ccm wana uelewa mdogo

    Wana jamvi salam nimesema mawaziri wa ccm wana uelewa mdogo kutokana na kauli wanazozitoa wakati wanajibu hoja cha upinzani. Waziri anaposimama bungeni anawakilisha serikali na sio chama waziri anapoulizwa swali huku akijua wananchi wanataka kusikia kauli ya serikali, nayeye badala ya kujibi...
  13. M

    Rai Yangu kwa Mh. Pinda na Rais Kikwete, Tunaomba Busara Zenu !

    ni kweli mkuu hata kitabu cha dini yaani biblia inasema ""pasipomaono taifa hungamia na pasipo mashauri taifa huanguka ;; naiombea nchi yangu rehema kwa mungu
  14. M

    Tanzania kuwa dar kauli ya serikali

    Kwanza salam naomba tusaidiane mawazo hivi kiongozi anaposimama na kusena raslimali yoyote itakayo patikana sehemu yoyote itakuwa ni mali ya watanzania wote huku wakilazimisha kuhamisha raslimali hiyo na kuipeleka dar sasa hapa najiuliza je dar ndio tanzania? Je mtwara sio tanzania? Je gesi...
  15. M

    Wabunge kuweni macho na kauli hizi za udanganyifu za serikali

    Nashindwa kuelewa kwanini serikali haitaki kuona ukweli wa wana mtwara na kila sasa kuubadili ukweli huo kuwa uwongo. Serikali inatuambia wana mtwara wanasema gesi ni yakwao hivyo haitoki mtwara lakini kiukweli wana mtwara wanachopinga ni serikali kutoa gesi ghafi kutoka mttwara kwenda dar na...
Back
Top Bottom