Recent content by Makerubi Mushi

  1. Makerubi Mushi

    GE2020 Dr Pius Ngwandu alijiuzulu ubalozi ili agombee Ubunge wa jimbo la Maswa

    Baba yake Ngwandu aIikuwa mganga wa kienyeji tena maarufu sana fuatiia historia yake au watu waIiokaa Maswa watakwambia.,
  2. Makerubi Mushi

    Polepole: Tunashughulikia matatizo ya Wananchi wanyonge walioonewa na tunawapa mawakili wa kuwatetea Mahakamani

    Kuita watu wanyonge ni kosa hakuna aiiyeumbwa mnyonge, unyonge unaIetwa na serikaIi zetu. Huwezi kusema unaongoza nchi ya wanyonge.........nani kawanyonga hao wananchi. Siyo sifa nzuri kudai tunaongoza serikaIi ya wanyonge.
  3. Makerubi Mushi

    Hivi nchi yetu ilishawahi kunufaika na Chama chochote cha Upinzani?

    Basi umejua umuhimu wa upinzania sasa kama kupiga chapuo siyo sera. Chadema iikuwa sera na 2005 na 2010 Dr. SIaa aikuwa anatanga kama sera ya uchaguzi mkuu.
  4. Makerubi Mushi

    Chadema na kisa cha Sultan Maginga

    Huo uiiojengewa na wachina kama chuo chenu cha kibaha, Chama kimejenga ofisi za kanda kwanza ndiyo maana miichoma za Arusha, maiengo ni kupeieka kwa watu . Maendeeo ya watu siyo vitu.
  5. Makerubi Mushi

    Hivi nchi yetu ilishawahi kunufaika na Chama chochote cha Upinzani?

    Pia kumbuka sera ya eiimu bure si ya ccm baii waitoa chadema, yaikuwa mawazo ya chadema, pia imepika viongozi wazuri sasa ccm imewatamani na kuwapa vyeo Dr. Siaa, Profesa Mkumbo, Gekui, Siiinde, Mashinji, na wengi wengi.
  6. Makerubi Mushi

    Safu mpya BAWACHA mbioni kufahamika

    Uongozi si majaribio ni muhimu kupata watu waioiva haswa siasa za wamu hii ya tano
  7. Makerubi Mushi

    Safu mpya BAWACHA mbioni kufahamika

    Wapo wengi tuu kina Devotha Minja, Suzan Kiwanga, Catherine Ruge, Upendo Peneza na wengi wengi tuu waioiva
  8. Makerubi Mushi

    Safu mpya BAWACHA mbioni kufahamika

    Ni hatari kutoa watu chuop na kuwapa madaraka wakati mikikimiki ya siasa haswa awamu hii ya tano hawajaipata. Wapo wamama wazuri tuu waiopitia suuba za awamu hii wanafaa na sii rahisi kuwanunua. Hao wa chuo bado sana rahisi kununuika.
  9. Makerubi Mushi

    Komredi Polepole apokea wanachama wapya 300 wengi wao wakitokea CHADEMA!

    Hao mawaziri waioteuiwa kutoka chadema siyo wasomi, wanaonekana wazuri baada ya kupikwa na chadema
  10. Makerubi Mushi

    Godbless Lema hana matishio yoyote ya kiusalama, amekimbia kivuli chake

    Siyo kuiipa kodi ni namna ya nchi kujiendesha, hatuna uchumi wa kuweza kujiendesha biia wao ndiyo muhimu. Ni ujinga watu hao hao wanaotoa mchango kwenye maendeeo ya nchi tunawaita mabeberu. Hata bajeti yetu wenyewe hatuwezi biia wao sasa huoni huo ni uzwazwa.
  11. Makerubi Mushi

    Godbless Lema hana matishio yoyote ya kiusalama, amekimbia kivuli chake

    Na akumbuke Wewe hovyo kweii haujui hata ukinunua bia umechangia kodi, ukinunua sementi umechangaia kodi, hivyo siyo vigezo vya mwananchi kunyimwa haki yake ya kufanya demokrasia eti kisa kodi. Kushiriki kwenye demokrasia ni haki ya msingi, wewe unayeiipa kodi mbona haitoshi kwenye bajeti mpaka...
  12. Makerubi Mushi

    Godbless Lema hana matishio yoyote ya kiusalama, amekimbia kivuli chake

    Tanzania itajengwa na Watanzania wenyewe wenye wivu mkubwa wa kuona demokrasia ya kweii inatamalaki siyo kusifu na kuabudu watu, wasiotaka kuambiwa ukweli, waongo, wenye kusingizia watu. Tunahitaji watanzania wawe huru, wapewe haki sawa na ushiriki wa kujenga nchi yao na siyo kuona kikundi cha...
  13. Makerubi Mushi

    Jaji Warioba aishangaa Tume ya Uchaguzi kwa kitendo cha kuengua Wagombea wa Vyama mbalimbali vya upinzani bila kufuata utaratibu

    Tatizo unafiki si mkweii hakusema hivi mapema aijua mwanaye anapewa madaraka sasa ameona hamna kitu anajitokeza utazana anatupenda kweii. Katiba ya nchi inavunja wako kimya ii watoto wao wapewe vyeo.
  14. Makerubi Mushi

    Jaji Warioba aishangaa Tume ya Uchaguzi kwa kitendo cha kuengua Wagombea wa Vyama mbalimbali vya upinzani bila kufuata utaratibu

    Kuongeea vizuri kakosea timing, angezungumza mwezi wa tisa tungeeewa vizuri sana pia kashidwa kuongeea uvunjifu wa katiba wa ndungai kudai atawainda covid 19 pamoja na kuvuiwa uanachama wao.
Back
Top Bottom