Hivi nchi yetu ilishawahi kunufaika na Chama chochote cha Upinzani?

Sio mada ya kitoto kamanda, kwani mpaka uingie bungeni ndio uwe na hoja zenye mashiko?
Ukiwa nje utakamatwa na kupewa kesi zisizo na dhamana.kama unakumbuka spika aliambiwa afukuze wabunge ili wasemee nje awashughulikie .alisema mwenye muhimili ulijichimbia zaidi
 
Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyohoji, napenda kuenda moja kwa moja kwenye mada kama direct kick kwenye football.

Tangu hii nchi iingie kwenye mfumo wa vyama vingi, hivi tulishapata manufaaa yoyote kwa hawa wanaojiita wapinzani? CUF, ACT wazalendo, NCCR Mageuzi na CHADEMA walishaleta matokeo chanya kwa Wananchi?

Walishatupigania Watanzania tuwe na maendeleo? Au ni vyama vilivyogeuzwa kuwa makampuni binafsi ya watu? Nimeleta hili bandiko kama swali ili wenye akili timamu tukipata majibu tujue ukweli upo wapi.

Mfano Chadema walipata Kick kwa kuonekana wanapinga ufisadi, Je, nani aliwapa sapoti mpaka wakina Dk Slaa wakati huo wakawa mashujaa wa kisiasa? Ni wapinzani?

Leo hii Watanzania wanahitaji maendeleo, je hii Chadema iliyojaa nongwa ya kukosa ruzuku itawaaidia Watanzania? Kama hata huko nyuma walipata kick kupitia mgongo wa wanaCCM wenye uchungu na hili taifa sasa hivi ndio watakuwa na machungu ya kuwapigania Watanzania?

Tujitafakari kwa kina tujue ukweli juu ya nani ambae ana nia thabiti ya kuwasaidia Watanzania, maana kama chama cha upinzani kinaendekeza njaa na kutojali maslahi ya taifa kiuchumi na kisiasa, sababu tu viongozi wamekosa mustakabali wa kisiasa, tutambue ni tatizo kwa jamii yetu.
Ungejiuliza kwanza kwa nini CCM inahangaika hadi kufanya jinai ya kugushi nyaraka ili kuwaingiza wale covid 19 bungeni kwa mlango wa nyuma.
 
Nchi ikiwa na utaratibu mzuri wa kiutawala hata wewe unaweza kuwa raisi. Tatuzo tunamtarajia mtu mmoja awe ni kila kitu.
Vyama vya upinzani ni sauti mbadala, humulika yasiyofa na kuonyenya njia mbadala. Husaidia watawala kujiweka sawa.
Vina watu werevu pia ndo maana wengine wamepewa vyeo mifano ipo. Anna Gwrra, Dr Slaa, Kitila nk.
Vyama vya upinzani vimetoa mchango mkubwa sana na anayetaka vibomoke ni mpumbavu tu.
Hao waliotoka uko na wakaja chama tawala na kupewa nyazifa hizo, hakuna alietoka uko kwa amaniii, wengiwamekimbia huko ni baaada ya kuchoshwa na mambo ya hovyo yanayofanywa na viongozi wao miungu watu. Suala la kupata mgombea ciongozi wa vya ma vya upinzani, ndio wanao panga wenyeweee. Matokeo take wanatuletea wagombea wasiofaaa wala kukidhi nafasi ya uraisi. Mfano kama uchaguzi wa mwaka huuu, nioneshe chama cha upinzani kilicholeta mgombea ambaye ata angesubutu ata kutikisa unywele wa magufuli kwenye kampenii.
 
Nishauri mchungaji wa kwenda ili nikitoka huko nije kusifia na kusujudia sanamu kama ww.
Askofu Gwajima. Usimchukie kisa amewabwaga jimbo la kawe. Habari za kusujudia sanamu zinatoka wapi? Dish linazidi kuyumba?
 
Askofu Gwajima. Usimchukie kisa amewabwaga jimbo la kawe. Habari za kusujudia sanamu zinatoka wapi? Dish linazidi kuyumba?
Naenda wiki ijayo, nikija humu na mimi nitakuwa naimba sifa za mtukufu jiwe, baada ya kujazwa uzalendo uchwara kama ww.
 
Mbona ishu ya elimu bure ilianza kupigiwa chapuo na Nccr mageuzi mwaka 1995, wewe ulikuwa wapi? Na hao waliokuwa Nccr mageuzi walitoka wapi? Sio Ccm?
Basi umejua umuhimu wa upinzania sasa kama kupiga chapuo siyo sera. Chadema iikuwa sera na 2005 na 2010 Dr. SIaa aikuwa anatanga kama sera ya uchaguzi mkuu.
 
Maswali mengine mkawaulize mabasha wenu huko lumumba. Miaka karibia 60 ya uhuru bado mnawaita waTanzania wanyonge! Huo unyonge kawapa nani kama sio mabasha zenu huko lumumba. Ondoa upuuzi wako.
 
Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyohoji, napenda kuenda moja kwa moja kwenye mada kama direct kick kwenye football.

Tangu hii nchi iingie kwenye mfumo wa vyama vingi, hivi tulishapata manufaaa yoyote kwa hawa wanaojiita wapinzani? CUF, ACT wazalendo, NCCR Mageuzi na CHADEMA walishaleta matokeo chanya kwa Wananchi?

Walishatupigania Watanzania tuwe na maendeleo? Au ni vyama vilivyogeuzwa kuwa makampuni binafsi ya watu? Nimeleta hili bandiko kama swali ili wenye akili timamu tukipata majibu tujue ukweli upo wapi.

Mfano Chadema walipata Kick kwa kuonekana wanapinga ufisadi, Je, nani aliwapa sapoti mpaka wakina Dk Slaa wakati huo wakawa mashujaa wa kisiasa? Ni wapinzani?

Leo hii Watanzania wanahitaji maendeleo, je hii Chadema iliyojaa nongwa ya kukosa ruzuku itawaaidia Watanzania? Kama hata huko nyuma walipata kick kupitia mgongo wa wanaCCM wenye uchungu na hili taifa sasa hivi ndio watakuwa na machungu ya kuwapigania Watanzania?

Tujitafakari kwa kina tujue ukweli juu ya nani ambae ana nia thabiti ya kuwasaidia Watanzania, maana kama chama cha upinzani kinaendekeza njaa na kutojali maslahi ya taifa kiuchumi na kisiasa, sababu tu viongozi wamekosa mustakabali wa kisiasa, tutambue ni tatizo kwa jamii yetu.
Sasa we unsema tucta wapo kimya,hebu jiulize kwa wnzi za huyu jamaa kuna taasisi gani inaubavu wa kusema?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom