Chadema na kisa cha Sultan Maginga

Chadema na kisa cha Sultan Maginga

What about the ruling party. Kila asst waliyo nayo ni asset ya serikali. Serikali ya china inawezaje kyijengea chama cha siasa ofisi? Asset nyingine zote zilikuwa mali ya serikali wakati wa chama kimoja ama zilitokana na hizo. So shut up!
Acha kulia,chadema hiyo hiyo inapata milioni 900 kila mwezi toka serikalini inafanyia nini?
Cuf wana ofisi yao,NCCR wana ofisi yao hata TLP wana ofisi,chadema wezi tu
 
Ukumbi wa Dodoma Convention Centre( DCC) nao ni asset ya Serikali??

Chadema mwambieni Mbowe awape hela za mauzo ya chama mjenge hata ofisi
Huo uiiojengewa na wachina kama chuo chenu cha kibaha, Chama kimejenga ofisi za kanda kwanza ndiyo maana miichoma za Arusha, maiengo ni kupeieka kwa watu . Maendeeo ya watu siyo vitu.
 
Mkuu, umeandika mambo magumu sana, chadema hii ya sasa hawawezi kukuelewa hata kidogo. Uwezo wao wa kuelewa ni kidogo sana.
 
Back
Top Bottom