Kusema ukweli hawa wanasiasa wananichefua sana, maana siyo wakweli, mbona hawasemi habari za escrow, kagoda, meremeta, wakati zile ndiyo hasara na ufisadi mkubwa sana wenye kutia aibuy.
Kama hizi unaona ni hoja, basi wewe una matatizo, tena makubwa sana. Inabidi tuionee huruma nchi yetu na watu wetu. Jana nilitarajia kupata taarifa na mipango mathubuti ya kuwatoa watanzania katika ufukara na umaskini uliokithiri, kinyume chake yalikuwa mambo ya ajabu tu. Siiiiiiiiiiiipendi...
Hawakujua wana nguvu kiasi gani. sasa inakula kwao, yule mzee alisema patachimbika, kumbe hata uwezo wa kupachimba alikuwa hana. Sasa anaona aibu, na kajimaliza kisiasa na heshima aliyokuwa ameijenga yote imepotea kwa kuingia katika ushabiki asioujua. Sasa naona Sofia Simba kishamkimbia mzee wa...
Kuna kijana mchapa kazi anaitwa Seseja nimesikia anakuja kuikoa Magu katika ahadi hewa na umasikini uliokidhiri. Cha msingi mjue hamchagui mfadhiri bali mnachagua kiongozi iliaweze kuwaongoza katika kutambua fursa zilizopo na namna bora ya kuzitumia.
Ni kijana makini sana. Ngoja nifuatilie...
Membe ni mtu makini, msiyumbishwe na propaganda za kisiasa, Mh. anachafuliwa sana kutokana na mbio na Urais, hata hao wanaojiona ni bora kuliko Membe nende majimboni mwao mjionee uhalisia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.