Recent content by makatapela pasinde

  1. M

    The Guardian mnaniangusha. Kiingereza gani hiki?

    sijui tuna tatizo gani.unacheka mwenzio alivyo andika kumbe wewe ndio shida haujui.sijui tumelogwa.hata ukiongea watanzania wengi wanapenda kucheka
  2. M

    Huenda binadamu ni silaha za kibaiolojia zilizoletwa duniani kama virusi wa kansa ili kuiharibu Dunia

    mmm nimegundua kumbe hata mimi naweza kudanganya na nikapata wateja kwa mwendo huu
  3. M

    Msamaha wa Spika Job Ndugai utapokelewa na Watanzania?

    hapana ndugu.kuvunja katiba ndio vyanzo vyote ya haya.yaani mambo ni mengi.nikulize swali.Yeye ndiye anafaa kuisema selikali ila wenzake waitwe kwenye kamati'sasa hayo ndio makosa.unajua ukiwa kiongozi kama spika lazima uwe na uwanja wa democrasia.sasa yeye hana si ndani ya chama au inje ya chama.
  4. M

    Kama umewahi kuona kitu cha ajabu angani, tupe stori ilikuwaje

    Usipende sana vitu vya kusadikika. Tutawaelimisha mpaka lini? Kuna vitu vinakusubiri katika famili yako na jamii kwa ujumla
  5. M

    Waliodukua na kubadili hotuba ya Spika Ndugai wasakwe na kukamatwa maana huo ni uzandiki wa kumchonganisha na mkuu wa nchi

    kiukweli spika hana kosa kuishauri selikali ndio wajibu wake na ilitakiwa iwe ivyo tangu mwanzo.sasa hoja iko hapa wenzako waliosema uliwaita kwenye kamati ya maadili.sasa huu uzalendo kautoa wapi ghafula?
  6. M

    Spika Ndugai: Rais Samia naomba unisamehe kwa sintofahamu iliyotokana na kauli yangu🙏

    kanuni ile uliyonyamazisha wengine ndio hiyo hiyo inatumika
  7. M

    Prof. Assad: Mfumo wa Siasa una shida. Huwezi kuzungumzia Kilimo wakati huna Mabwawa

    mmm haya tumemsikia.sasa yeye anasaidiaje ili maji yasipotee,
  8. M

    Walimu wa Shule za Msingi hawazeeki haraka

    watoto wadogo mnapenda vitambi unategemea nini?
  9. M

    NABII MALISA: Yanga sc itaukosa tena ubingwa wa TPL kwa tofauti ya points chache

    mimi ni mshabiki wa simba lakini mambo ya utabiri au maunganga sitaki kusikia
  10. M

    Usimuonee huruma Mwanamke

    wewe ni mpuuzi sana.yawezekana una asili za kike.sisi wanaume hatuna ukatili wa namna hiyo.na hii ni tangu enzi za adamu na mpaka sasa.wanaume sisi ni wavumilivu,tunayabeba yote mabaya,machungu,kwa nini sisi ndio chanzo cha uhai.Hivyo sisi tunahuruma sana.sasa kwa hiyo tabia uliyo nayo wewe...
  11. M

    Rais Samia wewe fanya kazi, usiwasikilize wanasiasa kama Ndugai

    kazi ya bunge ni kuhoji.sasa sijui kosa la spika unavyo mtuhumu
Back
Top Bottom