Recent content by MAKASSY

  1. M

    JamiiForums Tanzania Chuo cha SAUT - Mbeya kwachafuka

    Kwa taarifa ambazo tumezipata muda huu zinadai kuwa wanachuo wa chuo cha Saut-Mbeya kuna mgomo uliosababishwa na uongozi wa chuo hicho kumfukuza kazi lecturer anayejulikana kwa jina la Acran John kutokana na kinachodaiwa ni kutokana na shinikizo la Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndio kupelekea...
  2. M

    JamiiForums Tanzania CHASO-Tabora wafanya mkutano!

    Ni kweli kamanda hata hapa CHASO Tabora tunawasiwasi huenda kuna ccm na act wamejipenyeza kwani kuna jamaa mmoja anaitwa jeremia heri na Mganda zacharia wameonyesha kutokuwa na uaminifu ndani ya CDM na miongoni mwa mambo yaliyojadiliwa leo ni kwamba Mwenyekiti wa CHASO-TABORA kumpiga stop...
  3. M

    JamiiForums Tanzania CHASO-Tabora wafanya mkutano!

    Habari wa jf!mpaka muda huu makamanda wa CDM Tabora tawi la SAUT,wako katika kikao cha kupanga mikakati jinsi ya kuikomboa jamii ya Tanzania hususani wana Tabora!Mungu ibariki CDM,Mungu ibariki CHASO
  4. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA kufanya Mkutano Jangwani tarehe 26 siku ya Jumapili

    Ukawaaa
  5. M

    JamiiForums Tanzania CCM mnatia shaka

    Ndugu zangu acheni hasira!tusimamie kwenye ukweli wenyewe;mimi nasema ccm inatumia mabavu kuipitisha katiba iliyopendekezwa,kwa nini ccm wanaonekana na wasiwasi hii inatokana na nini kama hakuna (NYUMA YA PAZIA)haraka hii inasababishwa na nini?
  6. M

    JamiiForums Tanzania CCM mnatia shaka

    Naomba niwaulize!hivi kwa nini kipengele cha tuna za taifa na maadili ya viongozi wa umma vimeondolewa?tupeni sababu
  7. M

    JamiiForums Tanzania CCM mnatia shaka

    Ndugu wana-jf,ninajiuliza maana ya kauli hizi za viongozi wa ccm ikiongozwa na Rais,pale aliposema"KATIBA HII NI NZURI WANANCHI MUIPIGIE KURA YA NDIO".hii inatoa tafsiri gani? Nijuavyo mimi katiba pendekezwa inatakiwa iletwe kwa Wananchi,kila mmoja apewe nakala yake na apate muda wa kisoma ili...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nape akutwa na majanga Iringa

    Nakubali kabisa kuwa ukipambana na CDM unapambana na Mungu kwani sera za CDM unaongelea usawa kwa jamii yote si kama ccm!laana zimewakumba!c unaona Nape limevunjika mkono?na bAaaaddo
  9. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA kutiliana saini makubaliano ya Muungano wao Octoba 26

    Hata sisi tulikuawa tunaomba iwe hivyo!Mungu wabariki ukawa waikomboe Tanganyika
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya hawa nani atafaa kugombea urais kwa "tiketi" ya UKAWA?

    Dr.slaa
  11. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kufanya mkutano wa hadhara mkoa wa Tabora

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinatarajiwa kufanya mkutano leo katika viwanja vya Stend ya Zamani-Tabora lengo ni kuwatambulisha viongozi wapya pamoja na kuzungumzia mambo mbalimbali ya mustakali wa nchi yetu.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ni aibu na fedhea kwa mtu msomi kuipenda CCM

    Sio wasomi tu!hata mtu mwenye akili timamu na mzalendo hawezi kuifagilia CCM.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tusipokubaliana na mtazamo wa Godbless Lema, CCM itaendelea kutawala na katiba ya Sitta itapita

    Ndio ukweli wenyewe!Watanzania tuache woga!
  14. M

    JamiiForums Tanzania John Mnyika na Salim Mwalim kutikisa miji ya Makambako, Njombe

    Peopleeeee
Back
Top Bottom