CHADEMA kufanya mkutano wa hadhara mkoa wa Tabora

CHADEMA kufanya mkutano wa hadhara mkoa wa Tabora

MAKASSY

Member
Joined
Jan 16, 2013
Posts
95
Reaction score
26
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinatarajiwa kufanya mkutano leo katika viwanja vya Stend ya Zamani-Tabora lengo ni kuwatambulisha viongozi wapya pamoja na kuzungumzia mambo mbalimbali ya mustakali wa nchi yetu.
 
tumekusoma kamanda, msisahau kuwapa wana tabora wizi aliofunya sitta na wapuuzi wenzake... Mijizi sisiemu katika kubaka demokrasia katika kupitisha katiba pendekezwa... Toeni elimu ya kujiandikisha katika daftari la kudumu la kupigia kura na watu wajitokeze kugombea uongozi katika uchaguzi huu wa serikali za mitaa, maana hawa majizi huko ndiko yanakowaibia watu hapo.......

Usisahau kutupia mapicha kamanda....

Pamoja sana. Ova
 
tunawatakia kila la heri ni leo au kesho tupe updates
 
Mje Urambo, fisadi Sitta na wajinga wenzake wameporomosha matusi sana jana kwenye mkutano waliouandaa jana.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinatarajiwa kufanya mkutano leo katika viwanja vya Stend ya Zamani-Tabora lengo ni kuwatambulisha viongozi wapya pamoja na kuzungumzia mambo mbalimbali ya mustakali wa nchi yetu.

Mbona hukurudi tena kwa updates , bado utataka siku nyingine tukuamini ?
 
Back
Top Bottom