Recent content by Makaratee

  1. M

    Maswali mengine 25 mazito kwa Lowassa

    Haya maswali anatakiwa aulizwe na ayajibu mwanafunzi wa chekechea na si kuyajibu Rais mtarajiwa wa awamu ya tano ya JMT Edward Ngoyai Lowassa
  2. M

    Stephen Wassira: Kada mkongwe wa CCM asiye na kashfa

    Hili la kuhama chama kisa tamaa na ulafi wa madaraka, ni kashfa tosha kwake!!
  3. M

    Nafasi ya Lowassa ndani ya CCM, faida na hasara za kumfukuza Chamani kwa sasa!

    Usisahau kutaja ushiriki wa Lowassa katika uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji mwaka 2014 ambapo alipata ushindi wa kimbunga wa asilimia 99.9 Huu pia muwe mnautaja!!
  4. M

    Nafasi ya Lowassa ndani ya CCM, faida na hasara za kumfukuza Chamani kwa sasa!

    Unaonekana kituko mbele ya weledi unaposema Lowassa alipofukuzwa chama hakikutikikisika. Mwaka 2005 CCM ilishinda kwa asilimia 81 kiti cha urais, ila mara baada ya kumtimua Lowassa 2008 ukafanyika uchaguzi mkuu tena mwaka 2010 CCM ilishinda kwa asilimia 61. Hauoni kukosekana kwa kiungo imara...
  5. M

    Lowassa unamdanganya nani, Ishara ya kufa kisiasa

    Hakuna kikao kama hicho kilichofanyika. Lowassa yupo Dar tangu tarehe 3. Tulieni kwani dawa inawaingia taratibu, kuweni majasiri
  6. M

    Mwigulu: Naombwa nigombee urais 2015

    Siku zote kwenye msafara wa mamba na kenge wamo. Mwigulu aendelee kuwa msindikizaji kwenye safari ya urais
  7. M

    Kwa urais 2015, mh. Pinda hana mpinzani. Ni mwadilifu, mzalendo, mchapa kazi na mwaminifu. Si fisadi

    Kuiba pesa za Escrow ndio tuite uadilifu wa Pinda? Kitendo cha kulia lia tu ndio kiongozi mwenye maamuzi? Unapaswa kufikiri kabla haujapost!
  8. M

    Edward Lowassa afanya Propaganda kwenye media eti kashinda 100%

    CCM imeshinda kwa kishindo Monduli, huo ndio ukweli! Na siku zote ukweli ni kama mafuriko hauzuiliki kwa viganja vya mikono!!
  9. M

    Edward Lowassa afanya Propaganda kwenye media eti kashinda 100%

    Wakati unaandika hiyo post sijui ulikuwa umeshikiliwa makalio, umebwabwaj tu!!
  10. M

    Lowassa: Kwa kupitishwa sababu hizi kamati kuu (CC), May 2015 nagombea urais wa JMT

    Unaposema Lowassa ni fisadi una ushahidi wa ufisadi alioufanya au unabwabwaja tu? Ama unazungumzia suala la Richmond ambalo wabunge na Bunge imethibitisha ya kuwa haikulipwa hata sh. 1 kwa kampuni. Jifunze kufikiri walau kidogo
  11. M

    Lowassa: Kwa kupitishwa sababu hizi kamati kuu (CC), May 2015 nagombea urais wa JMT

    Watanzania tunamuhitaji Lowassa awe Rais wa tano wa awamu ya tano ya JMT. Wallah tena kura yangu ya NDIYO ameshaipata
  12. M

    Kikwete na Lowassa kunani tena?

    JK ameshasoma mahitaji ya Watanzania ya Rais wamtakae. Na Edward Ngoyai Lowassa ndiye mrirhi sahihi wa JK anayetakiwa na Watanzania.
  13. M

    Lowassa alazwa Ujerumani, afanyiwa upasuaji mkubwa

    Haya maneno ya ugonjwa kuzushiwa wagombea hayajaanza leo kwani hata JK aliambiwa ni mgonjwa na hana siku chache atakufa leo hii ni mwaka wa tisa anadundikq. Afya ya mtu aijuaye ni Mwenyezi Mungu tu. Ila ukweli Lowassa ni mzima wa afya tele na nimetoka kuzungumza naye muda si mrefu
  14. M

    Lowassa alazwa Ujerumani, afanyiwa upasuaji mkubwa

    Wakati mwingine najiuliza ulikuwa ukiandika hii post huku umrshikiliwa makalio
Back
Top Bottom