Recent content by makarang

  1. M

    Sakata la Gasi -Mtwara

    Mimi niko mtwara, kilichotokea ni baada ya kusomwa bajeti ya wizara ya nishati na madini, wananchi wa mtwara walikuwa wanasubili kusikia tamko la waziri kuhusu hatima ya gesi, hali ilibadilika pale ambapo waziri alitamka kuwa mpango wa kujenga bomba la kusafilisha ges kuoka mtwara kwenda...
  2. M

    Tukio la Arusha: Rais Kikwete akatiza safari ya Kuwait

    daah, yan watanzania tumekuwa mashabiki sasa, kwa hali halisi kwa uhamuzi wa Rais una madhala gani kwetu?, yule ni mkuu wa nchi tatzo limetokea kwa nini asiludi? bado mtu anahoji, je ulitaka asije upate cha kusema? kaludi bado unasema. Yaan sas tumekuwa watu wa lawama na wachochezi kwa kila...
  3. M

    Hapa ndipo penyewe

    dada me nipo mwanza ndipo nyumbani, ila ninaweza kuja popote ili nifanye kazi, kama kuan uwezekano nomba unisaidie tuwasiliane kwa andrew.raymond49@yahoo.com
  4. M

    Hapa ndipo penyewe

    dada me nipo mwanza ndipo nyumbani, ila ninaweza kuja popote ili nifanye kazi, kama kuan uwezekano nomba unisaidie tuwasiliane kwa andrew.raymond49@yahoo.com
  5. M

    Hapa ndipo penyewe

    dada me nipo mwanza ndipo nyumbani, ila ninaweza kuja popote ili nifanye kazi, kama kuan uwezekano nomba unisaidie tuwasiliane kwa andrew.raymond49@yahoo.com
  6. M

    Hapa ndipo penyewe

    Please, naomba kazi ya kujitolea nimemaliza degree ya kwanza ya sociology.
  7. M

    B.a sociology

    habari wapendwa, mimi ni mwanachuo mwaka wa tatu, nachukua sociology, mwezi wa sita mwaka huu nitakuwa namaliza chuo, hivyo nigeoenda baada ya hapo nipate kibalua cha kujishughulisha nacho, hivyo kwa kuanza naomba kazi ya volunteer, (kujitolea) kutoka taasisi yoyote iwe ya serikali au binafsi...
  8. M

    Shemeji, ndugu yako anataka kunigeuza!

    kiukweli walimwengu tunaelekea kubaya sana, kwa nini leo mambo ambayo zamani yaliogopwa leo tunayafanya ya kawaida nakuwa sehemu ya maisha yetu, mwanaume tena uliyeko kwenye ndoa unapta wapi uthubutu wa kutaka kushiriki ngono kinyume na maumbile kwa mkeo tena mama wa watoto wako,kwa nini staha...
  9. M

    B.a sociology

    Habari wadau wa mtandao huu, me ni kijana wa mika 23, nimehitimu degree ya kwanza ya sociology, natafuta kazi inayorelate na proffession yangu, natanguliza shukran za dhati.
Back
Top Bottom